Wadada wa Mujiniiiiiiiiiiiiii Saluteeeee

After all if you date classic women you can't experience "can u come and pick me up?"
 
Hahahahhahah....acheni watoto wa watu tulee jamaniii,SI MNATAFUTA ILI ZILIWEEE?!na hayo magari KWANI NI YA KUENDEA KAZINI TU?AU FOR EMERGENCY ONLY??sasa unaniapproach na gari unalo ,kwnini nisikuambie uje kunipik,..wengne mnapenda hzo show,kw hyo tunafacilitate,na mlivyo'crame kwamba women wanapenda pesa,mtaendelea kuumia tu

Hahahaaaa jamani dada tutaendelea kuumia?, uhm sawa bhana na kweli tunaumia sana siyo siri
 
unajia na pikipiki mwili wangu ndio bodi aku mie njooo na kitu full AC hapo sikuachi asubuhi unanipik unanipeleka ofisini unanirudisha jioni nyumbani safii sana.. joke........ tafuteni hella wanaume tutumie loh
hapa ndipo napokukubali best.......hakunaga
 
Sasa ndo pakutafuta gari ya mabawa inayopita angani si wanasema ukiyavulia maji nguo lazima uyakoge.

mmhh.. mapenzi haya mi ndo maana nawachana laivu tena the first day nawatongoza!!

unajua ukijifanya serious sana ndo full show off ndo unaliwa!

ukija na show za kimasaki wakati mi ni saiz ya mb/rangi3, hatutowezana kwa kweli!

but kukupa sure ni lazima ili ufanye choice ya kuwa na mimi kwa moyo wako wote!!
 
Unajua mkuu tatizo nafikiri lilianzia kwa wanaume wenyewe hasa ile dhana ya lazima nimpate na ukijua mwenye nae hana kitu basi walikua wanatumia pesa nyingi kumuondoa msichana kwa mpenzi wake . Sasa mwisho hii kitu imekua haki kwa wadada wanataka fedha na bila hiyo humpati wa class unayoitaka. Inafaa sana mchukue wa class ya kawaida halafu unampandisha hadhi taratibu huyo hata kwa tz 11 hana tabu atakufuata tu.
 
REALLY??.....even you unataka pesa??so technically they are selling p.u.s.s.y???
 
Nope nadhani hukunisoma vizuri hebu rudia tena kusoma. Mkuu mimi sifanyi biashara hizo kwanza najiheshimu , pili nimeolewa na ninafuraha na maisha ninayoishi. Hata ningekua single bado nina mtazamo tofauti juu ya mahusiano.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

kwa ninavyosoma michango yako humu naamini wewe ni mtu unaejiheshimu.....kwahio hapo unaposema wadada wanataka pesa na bila hio humpati class unayotaka nimeshangaa sana ndio maana nikauliza....hao ni machangu bila kuficha maneno wanajiuza indirectly
 
Unajua mkuu tukiiweka kwenye uchangu twaweza funga mjadala kumbe tutakua tumejizuia kujua mabinti wa kisasa wanataka nini hasa . Siamini kama wote wenye mtazamo huuu ni machangu kwani nataka kuamini kuwa wapo wasichana wanaojiheshimu sasa wamejikuta wana mtazamo wa aina hii kwa sababu ya watu wanaowazaunguka hasa kwa kuangalia yaliyowakuta wale waliojali mapenzi tuuu bila pesa. Kuna wanawake kadhaa ni wahanga wa hii kitu walikutana na wenzi pasi na kitu lkn mambo yaliponyooka tu wenzi wao waliwaacha na kuchukua wanawake wa class yao yaani wapenda mali.

Sasa ktk mahusiano kuna mitazamo tofauti na naweza kusema yote inafaa kulingana na mwenye mtazamo. Wapo wanaojali true love yaani kwao mapendo ya kweli ndio mpango mzima . Wapo wanaosema true love hakuna so wameona bora wajikite kwenye kupenda mali au kujali kipato na vitu kama gari , nyumba nzuri n.k. Pia wapo ambao hawaeleweki yaani wapo kati kati. Sasa ndio maana nikasema kuna class tofauti tofauti za wanawake. kama mtu anataka mwanamke wa class flani kama vile dada anaepiga vitu ghali kiasi kwamba ukimuona ni vigumu kumuitia usafiri wa bajaji hapo lazima utumie fedha nyingi. Wapo walio smart lkn hawana makuu . Hata wanaume nao mmetofautiana wapo wanaopenda mdada mwenye kupenda fedha na kwenda viwanja vikali na wapo wanaume wasiopenda wanawake wanaojisikia na wenye matumizi makubwa. Wapo wanaume wanaohitaji true love tu hawataki shida.
 
anyway...mimi ni mgeni mjini hapa.....huko kijijini nilipotoka nimezoea mwanamke mnapanga kutoka anakuja na usafiri wake mwenyewe[baskeli/guta etc],na tukiingia kwenye disko/kibanda cha video kila mtu anatoa kiingilio chake,tukiingia disco vumbi kila mtu anatoa kiingilio chake na kuchangia bili ya vinywaji na nikijaribu kuwalipia wanakuwa wakali hawapendi kulipiwa.....itabidi nibaki na wanawake wa kijijini hawa wa mjini tuwaachie wa mjini.
 
Ni kweli kabisa mkuu TCleverly wapo wa aina hiyo wasiopenda mali na wana sifa zote so inategemea kijiji unachoishi au mtaa uliopo.
 
Last edited by a moderator:
unajia na pikipiki mwili wangu ndio bodi aku mie njooo na kitu full AC hapo sikuachi asubuhi unanipik unanipeleka ofisini unanirudisha jioni nyumbani safii sana.. joke........ tafuteni hella wanaume tutumie loh
Kuna mtu alishawahi kuanzisha uzi kwamba wote wanajiuza mkabisha mbaya..... Haya sasa
 
Back
Top Bottom