Wadada wa Mujiniiiiiiiiiiiiii Saluteeeee

Wadada wa Mujiniiiiiiiiiiiiii Saluteeeee

Kwa hiyo ndo kusema town hakuna wanawake wa kuoa,ila ukiwa na gari unakidhi haja then unasepa....
Hii mitazamo imetisha...
FA kasema usije mjini, ndo naamini sasa....
 
Habari zenu wapendwa hii nimei'copy sehemu nikaona si mbaya niki'share na nyinyi.Story yenyewe inaenda hivi;

''Can you come and Pick me Up?''
Hii ni sentensi yenye maana kubwa sana
anapokutumia Msichana wa Kimjini-Mjini ambae
ndo umeanza kumrushia punje za mchele
adonoe ili aingie Kingi awe mchuchu.
Maana kuu ya Meseji hii: Anataka kujua
UTAKUJAJE KUMPICK...Mademu wa Mjini
wanapenda magari asikwambie mtu,liwe na
urithi au umemtoa kafara mamako,maadam ana
uhakika akitoka ndani hatembei kwa mguu na
kunuka jasho kwa daladala basi asilimia 75
ushampata....Kimbembe ni pale akikwambia
Come and Pick Me up halafu unamzukia kwao
Yombo Dovya na Pikipiki ya TOYO...Amini Amini
nakuambia,Umeshamkosa huyo
Sasa we jishaue Instagram pale unaposti uko
Serena mara Hyatt basi demu anajua
YEESSS...Akisema Come and Pick me Up we go
somewhere for Dinner,unazuka na Bajaj
imeandikwa,'Hata Maskini anastahili
kupendwa',Next time ukimwambia can we go
dinner utasikia tu,Am so tired leo i had lots of
meetings...Sorry cant make it nna assignment ya
kutype...
Come and Pick me Up inaweza ikakupa au
kukukosesha kabisaaaa,Uionapo Meseji hiyo jua
ina maana kubwa kuliko ufupi wake
Shkamooni Wadada wa Mjini wenye Alergy na
Bajaj japo babako Mzazi Phonebook yake imejaa
majina yao tu,Dula Bajaj...Bajaj Sayansi...Bajaj
Tandika..Bajaj Mbovu...Bajaj Side...Shkamooni
tena.

Washika dau wa hivi ujue wana BAMIA type, kama ni mwanaume una mchi wa kutosha, una style na ma ujanja ya kuchekecha hela za nini? tumia utalaam wako kutuwin sisi madem. Sasa hvi hali tete unamchukua mtu humjui umeona gari full AC kumbe kwenye trouser ana bamia na mayai makubwa kama ya MBUNI, Useless. Tokeni hapa na masimamamgo. Ili uweze kunikalisha na kisoseji chako lazima ukate hela ya kutosha kufidia, la sivyo wahi huko!
 
Tatizo langu halipo kwenye mimi kuwa mnunuzi, ishu ni kwamba mlikana mbele ya miungu yote mnayoifahamu, na wengine wakadai hatuna adamu kwa wamama zetu........akiwemo anayeniuzia rasmi Heaven on Earth
ha ha ha ha kumbe unanunua kwa hiyo mnataka za bure kitu kitamu shurti ugharamie ila atuuzi nanilii
 
ha ha ha ha kumbe unanunua kwa hiyo mnataka za bure kitu kitamu shurti ugharamie ila atuuzi nanilii
Hahahaaaaaaa.... Hatutaki za bure, tunataka za kununua hivyo hivyo ila tu na nyie mtambue kuwa ni wauzaji na sisi tutajitambua nafasi yetu kuwa ni wanunuzi ...... JF BANA>>>>>>
 
hahahahahahahahaha..daaaah ukweli unaochekesha uwa mtamu xana,yaan stress zooote zimeniisha....shkamooo mpiga domo
Habari zenu wapendwa hii nimei'copy sehemu nikaona si mbaya niki'share na nyinyi.Story yenyewe inaenda hivi;

''Can you come and Pick me Up?''
Hii ni sentensi yenye maana kubwa sana
anapokutumia Msichana wa Kimjini-Mjini ambae
ndo umeanza kumrushia punje za mchele
adonoe ili aingie Kingi awe mchuchu.
Maana kuu ya Meseji hii: Anataka kujua
UTAKUJAJE KUMPICK...Mademu wa Mjini
wanapenda magari asikwambie mtu,liwe na
urithi au umemtoa kafara mamako,maadam ana
uhakika akitoka ndani hatembei kwa mguu na
kunuka jasho kwa daladala basi asilimia 75
ushampata....Kimbembe ni pale akikwambia
Come and Pick Me up halafu unamzukia kwao
Yombo Dovya na Pikipiki ya TOYO...Amini Amini
nakuambia,Umeshamkosa huyo
Sasa we jishaue Instagram pale unaposti uko
Serena mara Hyatt basi demu anajua
YEESSS...Akisema Come and Pick me Up we go
somewhere for Dinner,unazuka na Bajaj
imeandikwa,'Hata Maskini anastahili
kupendwa',Next time ukimwambia can we go
dinner utasikia tu,Am so tired leo i had lots of
meetings...Sorry cant make it nna assignment ya
kutype...
Come and Pick me Up inaweza ikakupa au
kukukosesha kabisaaaa,Uionapo Meseji hiyo jua
ina maana kubwa kuliko ufupi wake
Shkamooni Wadada wa Mjini wenye Alergy na
Bajaj japo babako Mzazi Phonebook yake imejaa
majina yao tu,Dula Bajaj...Bajaj Sayansi...Bajaj
Tandika..Bajaj Mbovu...Bajaj Side...Shkamooni
tena.
 
Ukitaka gari ukubali bila Condom!

kheeeee!!!!
A%20S%2013.gif
A%20S%2013.gif
 
Back
Top Bottom