Wadada wa Mujiniiiiiiiiiiiiii Saluteeeee

Wadada wa Mujiniiiiiiiiiiiiii Saluteeeee

Hahahaahahah......MARAHABAAAA.
Ila kiukweli mie mwanaume kama huna gari......umenikosa.
Sitaki kubanana kwenye Bajaji au bodaboda.
Nitachomwa na jua......mkorogo wangu nilioupaka hautakoloea.

hahahahahaha MadameB i know you are only joking, ryt...????
 
i know is priceless lakini i should get a man who will take care of me,... any way that is my views

but care is a broad term miss chagga, care revolves around many things, it's not always about money anyways you are entitled to have your own views and live the way you want, and i respect that.
 
but care is a broad term miss chagga, care revolves around many things, it's not always about money anyways you are entitled to have your own views and live the way you want, and i respect that.

thank you money to me is like every thing
 
Hahahahhahah....acheni watoto wa watu tulee jamaniii,SI MNATAFUTA ILI ZILIWEEE?!na hayo magari KWANI NI YA KUENDEA KAZINI TU?AU FOR EMERGENCY ONLY??sasa unaniapproach na gari unalo ,kwnini nisikuambie uje kunipik,..wengne mnapenda hzo show,kw hyo tunafacilitate,na mlivyo'crame kwamba women wanapenda pesa,mtaendelea kuumia tu

wewe una gari?
 
unajia na pikipiki mwili wangu ndio bodi aku mie njooo na kitu full AC hapo sikuachi asubuhi unanipik unanipeleka ofisini unanirudisha jioni nyumbani safii sana.. joke........ tafuteni hella wanaume tutumie loh

wewe una gari?
 
Hahahaahahah......MARAHABAAAA.
Ila kiukweli mie mwanaume kama huna gari......umenikosa.
Sitaki kubanana kwenye Bajaji au bodaboda.
Nitachomwa na jua......mkorogo wangu nilioupaka hautakoloea.

gari yako imeenda wapi?si tukutane tu kwenye miadi kila mtu na usafiri wake.
 
Hapo anasubir ujio wako mamamaaa afu unakuta unakuja na bodaboda mbuutaa unaachwa kwenye mataaa
 
Nimechekaje kwiiikwiiiiiiiiiuj pole jitahidi ununue garii ili uwadake warembo
 
unanifyokonyoa mwishowe uje uniulize ukubwa wa nanilii toka na ushindwe na ulegee ukose wa kuku................

LOL...si mnazungumzia magari hapa...nimeuliza tu wewe unalo?maanake usilazimishe watu waje kukupick na gari wakati hata petrol hujui bei gani.....u went too far miss
 
Back
Top Bottom