Wadada wa Mujiniiiiiiiiiiiiii Saluteeeee

Wadada wa Mujiniiiiiiiiiiiiii Saluteeeee

Habari zenu wapendwa hii nimei'copy sehemu nikaona si mbaya niki'share na nyinyi.Story yenyewe inaenda hivi;

''Can you come and Pick me Up?''
Hii ni sentensi yenye maana kubwa sana
anapokutumia Msichana wa Kimjini-Mjini ambae
ndo umeanza kumrushia punje za mchele
adonoe ili aingie Kingi awe mchuchu.
Maana kuu ya Meseji hii: Anataka kujua
UTAKUJAJE KUMPICK...Mademu wa Mjini
wanapenda magari asikwambie mtu,liwe na
urithi au umemtoa kafara mamako,maadam ana
uhakika akitoka ndani hatembei kwa mguu na
kunuka jasho kwa daladala basi asilimia 75
ushampata....Kimbembe ni pale akikwambia
Come and Pick Me up halafu unamzukia kwao
Yombo Dovya na Pikipiki ya TOYO...Amini Amini
nakuambia,Umeshamkosa huyo
Sasa we jishaue Instagram pale unaposti uko
Serena mara Hyatt basi demu anajua
YEESSS...Akisema Come and Pick me Up we go
somewhere for Dinner,unazuka na Bajaj
imeandikwa,'Hata Maskini anastahili
kupendwa',Next time ukimwambia can we go
dinner utasikia tu,Am so tired leo i had lots of
meetings...Sorry cant make it nna assignment ya
kutype...
Come and Pick me Up inaweza ikakupa au
kukukosesha kabisaaaa,Uionapo Meseji hiyo jua
ina maana kubwa kuliko ufupi wake
Shkamooni Wadada wa Mjini wenye Alergy na
Bajaj japo babako Mzazi Phonebook yake imejaa
majina yao tu,Dula Bajaj...Bajaj Sayansi...Bajaj
Tandika..Bajaj Mbovu...Bajaj Side...Shkamooni
tena.

mkuu ulijuaje?makabwela kazi tunayo!!!ndo maana tunakomaa na watoto wa uswahilini tu,baiskeli tu unamng'oa...daladala utadhani ndege
 
I should get my own ride. Chezeya uchawi wa mjapani. Msichana gani atakutolea nje
 
Mpiga Domo,

Nakubaliana na wewe kuwa kwanza hao mademu wachunaji wanawapata wajombawajomba. Mwanaume borntown harubuniwi na gold diggers. There are lots of classy girls to date, why go for a hoodrat. Suala la kuhudumia halina mjadala lakini sio kwa kuchunwa. No exposed guy would fall for such a girl. Mimi demu akianza story za mizinga ya kijinga napiga chini.
 
i concur with you mkuu, wahongaji wengi ni hawa vijana wetu ambao unakuta wakat wanasoma walikua ni watu wa msuli sana na walikua hawapo exposed na watoto wazur

sasa sa hivi wengi wamepata vikazi ambavyo vinawapa kiburi cha kulipizia al those tym na exposure ya watoto wazuri they didn't have walipokuwa wanasoma

lakini ukikutana na kijana anayejielewa watoto wazur ameanza kuwajua kabla hajaingia form one, kasharuka debe sana from africa to europe to states sijui mwanaume kama huyu unamchunaje kizembe
 
unajia na pikipiki mwili wangu ndio bodi aku mie njooo na kitu full AC hapo sikuachi asubuhi unanipik unanipeleka ofisini unanirudisha jioni nyumbani safii sana.. joke........ tafuteni hella wanaume tutumie loh

"You lazy, irresponsible and narrow minded girl, do your own dishes because your mammy doesn't work here". We don't work to stupidly entertain or buy girls in town.
 
Habari zenu wapendwa hii nimei'copy sehemu nikaona si mbaya niki'share na nyinyi.Story yenyewe inaenda hivi;

''Can you come and Pick me Up?''
Hii ni sentensi yenye maana kubwa sana
anapokutumia Msichana wa Kimjini-Mjini ambae
ndo umeanza kumrushia punje za mchele
adonoe ili aingie Kingi awe mchuchu.
Maana kuu ya Meseji hii: Anataka kujua
UTAKUJAJE KUMPICK...Mademu wa Mjini
wanapenda magari asikwambie mtu,liwe na
urithi au umemtoa kafara mamako,maadam ana
uhakika akitoka ndani hatembei kwa mguu na
kunuka jasho kwa daladala basi asilimia 75
ushampata....Kimbembe ni pale akikwambia
Come and Pick Me up halafu unamzukia kwao
Yombo Dovya na Pikipiki ya TOYO...Amini Amini
nakuambia,Umeshamkosa huyo
Sasa we jishaue Instagram pale unaposti uko
Serena mara Hyatt basi demu anajua
YEESSS...Akisema Come and Pick me Up we go
somewhere for Dinner,unazuka na Bajaj
imeandikwa,'Hata Maskini anastahili
kupendwa',Next time ukimwambia can we go
dinner utasikia tu,Am so tired leo i had lots of
meetings...Sorry cant make it nna assignment ya
kutype...
Come and Pick me Up inaweza ikakupa au
kukukosesha kabisaaaa,Uionapo Meseji hiyo jua
ina maana kubwa kuliko ufupi wake
Shkamooni Wadada wa Mjini wenye Alergy na
Bajaj japo babako Mzazi Phonebook yake imejaa
majina yao tu,Dula Bajaj...Bajaj Sayansi...Bajaj
Tandika..Bajaj Mbovu...Bajaj Side...Shkamooni
tena.

Good observation nimecheka bure! Ha ha haaaa
 
Kuchunwa wanachunwa madomo zege na wazee, kijana mzima unaangaishwa na binti... me binti akijifanya Burger za Subway, sijui me sipandi daladala natupa kule. Come and pick me up, sana sana nitakuja na Bajaj, ukiniona sifai, na mimi nakuona hufai... Maisha yanisumbue na mwanamke anisumbue?!? Hiyo nimekataa
 
"Come and pick me up" ama kweli mjini phd vijana mnakomajeeee. Kuna mdau alisema mkaoe vijijini au nje kidogo ya dar. Hii inafundisha kwamba ukiona vinaelea ujue vimeundwa .
 
come and pick me up.. halafu eneo lenyewe halipitiki hata kwa bajaj!

sasa hapa uendeje? btw, nini maana ya pick up?
 
yah ni kwelu,but WANAWAKE NA SIE SIO VILAZA ATII,SI TUNAONA.....and ujue kuhonga and the like sio wingi wa hela,tabia ya mtu tu

True ukiwa unawajua hawakupi shida unawagonga kama kawa na gari huna just kucheza na akili zao.
 
"You lazy, irresponsible and narrow minded girl, do your own dishes because your mammy doesn't work here". We don't work to stupidly entertain or buy girls in town.

only you but others do okey!! many of buyers in town
 
ni changamoto mojawapo so fanya kazi kwa bidii ili umiliki gari nawe uwapate kwa urahisi if that is the case
 
come and pick me up.. halafu eneo lenyewe halipitiki hata kwa bajaj!

sasa hapa uendeje? btw, nini maana ya pick up?
Sasa ndo pakutafuta gari ya mabawa inayopita angani si wanasema ukiyavulia maji nguo lazima uyakoge.
 
hahahahaha hata wanawake tafuteni hela kwa bidii, wanaume wa siku hizi wamekuwa wajanja sio waleee wa kipindi kileeeee,

wanaume wa ukwel wanaojielewa na wenye maendeleo hawataki wanawake ambao hawana hela sasa we ishia kuwekeza kwenye kununua ma'hand bags ya channel na lv na pumps za louboutins na akati unaishi nyumba ya kupanga mwananyamala utaishia kupata hao hao masharobaro wanaotembela magari ya kuazima

Mtoa mada asante kwa kunifanya nicheke. Hata hayo ma handbag makubwa ya madisigner ndani unakuta ana buku. Yaani ukimwambia chukua taxi tukutane mahali fulani hawezi. Wadada wa mujini kweli majangaaa
 
Back
Top Bottom