badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,118
wewe una gari?
sinaa..
wewe una gari?
i like to think far rafiki ila usijali nimejibu kwa utani pia hapa nothing serious rafikilol...si mnazungumzia magari hapa...nimeuliza tu wewe unalo?maanake usilazimishe watu waje kukupick na gari wakati hata petrol hujui bei gani.....u went too far miss
Hahahaahahah......MARAHABAAAA.
Ila kiukweli mie mwanaume kama huna gari......umenikosa.
Sitaki kubanana kwenye Bajaji au bodaboda.
Nitachomwa na jua......mkorogo wangu nilioupaka hautakoloea.
hahaha.madam B noumaa
Biashara matangazo atilazima nione what u have ndo nitoke na wewe sitembei na wasio jielewa kabisa tena nikakosea nikaingia kwa bahati mbaya kukumwaga siku ya pili sioni kazi kabisa,....... alafu masharobaro kwa hadhi yangu siwezi tembeea nao natembea na mtu anaajielewa tena haswa na hata akinionga pesa inaingia ya maana si tabu....... alafu najua kuitafuta pesa haswa wala siweza kaa nyumbani kusibira pesa ya mwanaume aku bint wa kichaga nimetumwa hela mjini
No money...! No honey hahaha
Ukitaka gari ukubali bila Condom!
hahahaaaaailla pozi la daladala kwakeli.......
wanaume kazaneni tu kutafuta hata starlet tutapanda tu
thank you money to me is like every thing
Hata kama hakut..vizuri ila anakupa hela poa tu kwako..!! Duh!
Ukitaka gari ukubali bila Condom!
Ahahahahaaaaa mi nakuja na mkokoteniHiyo ndio dawa ya wanaume korofi