Wadada wa jf kwa nini lakini?

Wadada wa jf kwa nini lakini?

Humu namna tuvyochat, mara nyingi inaonesha haiba ya mtu ilivyo.

Utafunguliwa tu na utakaribishwa kwa heshima, tena inawezekana utaanza kutafutwa wewe. Au ukigusa tu, mtoto anakwambia twende PM, Endapo wakikulewa. Ila hakikisha chats zako humu jukwaani zinakuakisi kuwa (Smart, Unajiamini, Pesa ipo)

Ila dalili zikionesha huna kati ya hivyo au vyote. Hutatoboa huko PM.

Kila la Kheri Mkuu.
KUMBE WATU HAMUELEWI KINGEREZA KIASI HIKO, amesema profile sio PM yeye anaongelea profile
 
Mbaya zaidi ni photos za kudownload mtandaoni na sio zao .Mtu anatafuta picha yenye matako makubwa au sura ya kuvutia kama wale mademu wa capeverde akishamaliza kuweka psychologically anajihisi ni yeye.
But anyway kila mmoja anahaki ya kufanya kile anachopenda
 
😂😂😂😂Hivi inawezekanaje mtu aweke picha ya mtu mwingine au aliyoedit na AI hadi sura ikabadilika na akajihisi ni yeye
 
Mimi sitaki nyuzi zangu za miaka ya nyuma zisomwe maana mimi mwenyewe baadhi nikizisoma napata kiungulia, muda mwingine najiuliza hivi hadi nikaandika thread kama hii nilikuwa nimelewa ama?
 
Mimi sitaki nyuzi zangu za miaka ya nyuma zisomwe maana mimi mwenyewe baadhi nikizisoma napata kiungulia, muda mwingine najiuliza hivi hadi nikaandika thread kama hii nilikuwa nimelewa ama?
Pole, nina issue hiyo pia, yani nyuzi nyingine hata kuzisoma tena huwa siwezi 😂😂
 
Back
Top Bottom