Sipitilizi bali naweka wazi nia yangu ilivyokuwa mafichoni kwa takribani miaka 6 sasa.Say no more babes, it was never your fault!
Mimi ndio itakuwa my fault, nadhani kati ya watu waliomuintertain Gunner humu ni mimi…. Now anataka kupitiliza mazoea.
We have learned the hard way walahi.Dogo anaitumia hii anonymity vizuri kabisa, hajali wala nini, kama mwehu
Ni kweli, ngoja niondoke maana naona nitafika nisikotakaNa sisi tunaomkimbiza tunaonekana wehu!
Ila atachoka mwenyewe
Usijilize lize hapa wewe, unafata ushauri wa mwanamke kisa unampenda?Sometimes, you don't have to fight to be a man. Nimetii ombi la Binti kiziwi niachane na huu uzi, wewe ukiona nimekimbia pambano, sio mbaya. Na hata hivyo hakuna kitu naweza pambana na wewe, hakipo.
HAKIPO.Sometimes, you don't have to fight to be a man. Nimetii ombi la Binti kiziwi niachane na huu uzi, wewe ukiona nimekimbia pambano, sio mbaya. Na hata hivyo hakuna kitu naweza pambana na wewe, hakipo.
Uwe na adabu, Sio kwamba watu wanakuogopa. Watu wana busara.Usijilize lize hapa wewe, unafata ushauri wa mwanamke kisa unampenda?
Hakika wewe ni domo zege kabisa.
Ewe binti kiziwi sijawahi kutisha na kudanganya mtu hapa, huwa naweka wazi nia zangu kwa wale wote ninao wapenda na kwako nilikuwa mafichoni toka 2021,ila leo ndo nimefika kiama cha kukaa na upendo huu mwenyeweWe have learned the hard way walahi.
Leo kaka yenu natishiwa kuanzishiwa uzi 😂😂
😁😁 He is clearly taking advantage of your kindness, anajitanua kwelikweliWe have learned the hard way walahi.
Leo kaka yenu natishiwa kuanzishiwa uzi 😂😂
Huyu tushamzoea! Ukimkosoa anakuchamba vilivyo.Ni kweli, ngoja niondoke maana naona nitafika nisikotaka
My bad sis! my bad! 😞😁😁 He is clearly taking advantage of your kindness, anajitanua kwelikweli
Utakimbia mwenyewe na kutafuta kwako sifa!Wewe unanifahamu fika huwa sionei huruma washamba na wajinga kama wewe na saiz ni nyie ndo mtakimbia..
Nimeanza lini na ni ni kwa nini unazidi kupaa tu na sifa ninazo,Utakimbia mwenyewe na kutafuta kwako sifa!
Tambala la kudekia wewe
Dogo hata kama upo nyuma ya keyboard onyesha adabu basi. Halafu usione huu ujinga unaoandika na watu wana comment ukajiona we ni mjanja.Usijilize lize hapa wewe, unafata ushauri wa mwanamke kisa unampenda?
Hakika wewe ni domo zege kabisa.
Tahira ni wewe unaependa kutaka attention kwa wisdom uchwara.Dogo hata kama upo nyuma ya keyboard onyesha adabu basi. Halafu usione huu ujinga unaoandika na watu wana comment ukajiona we ni mjanja.
Heshimu I'd za watu aisee. Naanza kukuona we una utahira fulani kichwani.
Unachoweza kufanya ni kuacha ku engage kwenye nyuzi babesSay no more babes, it was never your fault!
Mimi ndio itakuwa my fault, nadhani kati ya watu waliomuintertain Gunner humu ni mimi…. Now anataka kupitiliza mazoea.
Unakuja kwa kuibia kama fisi kwenye kundi la simba?Unachoweza kufanya ni kuacha ku engage kwenye nyuzi babes
Wewe mwenyewe unajua sio wa aina hii
Came on njoo kwenye nafasi yako na unaijua love you 😍
I'm out kwenye hii shit🚮