Wadada wa instagram na Facebook.

😂Leo naona una ephen wako mwingine kichwani.
Nipunguzie basi mpododo wako unaokubali kiburi mjini.
Huna uzuri wowote. Huna tako, na kibaya zaidi unapenda drama nani wa kufuga mbwa koko?
 
nipe link mkuu,niende huko ,hao ndio wazuri
Kwamba anakupiga kipindi...ila umechagua fungu jema mkuu, hautaki kabisa hekaheka, haubishani na mtu, very humble, kama mtu mshamba mshamba kwa asiyekujua, kumbe hayo yote ni kutafuta utulivu wa akili.

Huyu kijana bado anakua, nashangaa watu wanahangaika nae, ni suala la muda tu, hii stage ikipita, atakaa kwenye mstari. Ndio maana hua sioni sababu ya kusumbuana nae au kubishana kwenye mambo yake. Nilishamwambia ana akili ila kuna vitu aweke sawa, zaidi ya hapo ni kukaa pembeni apeleke mambo anavyotaka mwenyewe.
 
Nadhani wanaweza kuwa kikazi tu lakini hofu ya kuwa exposed ni kubwa.

We unadhani hakuna wadada wanaokitembeza hovyo humu?
Humu Kuna vikundi vya kugawana simps ukikaa kizembe unakuwa sponsor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…