Wadada wa instagram na Facebook.

Leo umejua kunichamba!😂🙌
 
hahahahaha,dah
 
Hata akibadili……! Nipo nimekaa pale.
Ewe binti kiziwi naomba upokee uzii wangu leo ambao nimeuweka mafichoni kwa muda mrefu si unajua tuliko toka?

Achana na hawa vichomi wasio na uzuri wowote, unajua mimi ni mtu wa aina gani na unajua how trustworthy and genuine I am
 
Pole sana Kamanda..
 
Kama mwanaume unatuaibisha sana na drama zako kwa sababu dishi lako limeyumba tutaendelea kukupiga spana mpaka likaze
Sijawahi kuuchoka na mnazidi kuniweka juu, sasa nimekuwa famous JF kwa sababu ya Pimbi kam nyie wazembe.
 
natakiwa nikui gnore unaanzisha nyuzi nyingi za kipumbavu...umetumwa kuiharibu jamii forum ionekane ni mtandao wa mafara? .........
Na nyinyi ndiyo mnaharibu kukaa mnakomenti komenti kwake mtu kama huyu nyuzi zake ukiona unafanya kama huzioni tu. Huyu anafanya makusudi anajua mtajibu tu au mmepewa limbwata la CCM watu mnalalamika kila kukicha na mikutanoni mnajaa wenyewe.
 
Alimfungulia nani nilipitwa
Nikianza kushusha list tutakesha! Huyu ukikaa kizembe anakupitishia mtongozo.
Ana hamu sana ya kudate na mdada yeyote wa jf ila ndo hivyo anakula za uso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…