Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
nikimaliza kunyoa na kuoshwa huwa nakunja sura kama nimekoswa bomu.natoka fasta bila tip
Kuna saloon nanyoaa knyamaa..wananichukiaaaaaaa.....full misonyoooooNi full mizoga wale madada na wanaboa mwanzo mwisho ndo maana mimi huwa sioshi au kuscrub nk. Nikishanyoa tu nalipa fasta natoka nduki huku nikisindikizwa na misonyo sauti ya kwanza yenye stereo kaliii....!
Vyote vinawasha mkuu...
Duh hapo kazi kweli kweli, mbona huku kwetu hakuna salon za namna hiyo jamani..!!?Kumbe ndo ivo isee naacha kunyoa nyumbani na kiwembe.
kisu,tindikali,oil ,na grenda ya kunyolea
Hapa Nairobi kuna wanaouliza "je mkaka unahitaji Extras" ukisema ndiyo uningizwa kwa room unapewa vitu bila hata CD!! beware!!Kwa wale ambao sio ma-raster (dread locks), nadhani mtakubaliana na mimi juu ya huduma tunayoifaidi ndani ya saloon za kiume hasa pale unapofika wakati wa ku-scrub, kuosha au hata wakati wa massage kwani hapa mshughulikaji huwa mdada mwenye mikono laiini.
Kiukweli hua naenjoy sana na nimekua addicted yani kila week lazima nkashughulikie kichwa changu kwenye barber shop ambayo inawadada wanaoijua kazi yao haswaa.
Kama hauna mkono wa birika basi utapewa Extreme service kwa muda mrefu na kuulizwa kama UNA-ENJOY?
Nashukuru sana kwa huduma zao, But tatizo lao ni moja tu...KUOMBA TIP, tip hua hutolewa kama aksante kama nikiridhika na huduma yako, but wao huwa ni kawaida kuomba na kukupa minjonjo wakati wa huduma mpaka unajiskia raaaaha, na kusahau matatizo kwa muda. HUU NI ULAGHAI...
Wenye hizi barber shop huwa wanafanya kusudi kwa kuwaweka warembo haswaa kwenye saloon zao.
Bila kusahau wanatoa ile huduma nyingine kama hawana akili vileee...( hapa nazungumzia % kubwa)
Mzee nielekeze tupate wote hii faraja..Kuna wadada wapo saluni flani hivi siitaji ipo mkoa flani hivi. Yaaniwanatupangisha foleni utadhani wana juju. Ila ni huduma yao tu. Yaani unafanyiwa scrub mpaka Ch**pi inabana. wanasauti za kuibia haooo! mara ooh niongeze presha? tatizo wamejaaliwa sasa afu wanavyovaa hakyanan we acha tu.
Hii ni moja ya starehe...karibu sana ntakuelekeza sehemu nzuri ya kupata huduma safi