dikembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,645
- 1,439
Kwa wale ambao sio ma-raster (dread locks), nadhani mtakubaliana na mimi juu ya huduma tunayoifaidi ndani ya saloon za kiume hasa pale unapofika wakati wa ku-scrub, kuosha au hata wakati wa massage kwani hapa mshughulikaji huwa mdada mwenye mikono laiini.
Kiukweli hua naenjoy sana na nimekua addicted yani kila week lazima nkashughulikie kichwa changu kwenye barber shop ambayo inawadada wanaoijua kazi yao haswaa.
Kama hauna mkono wa birika basi utapewa Extreme service kwa muda mrefu na kuulizwa kama UNA-ENJOY?
Nashukuru sana kwa huduma zao, But tatizo lao ni moja tu...KUOMBA TIP, tip hua hutolewa kama aksante kama nikiridhika na huduma yako, but wao huwa ni kawaida kuomba na kukupa minjonjo wakati wa huduma mpaka unajiskia raaaaha, na kusahau matatizo kwa muda. HUU NI ULAGHAI...
Wenye hizi barber shop huwa wanafanya kusudi kwa kuwaweka warembo haswaa kwenye saloon zao.
Bila kusahau wanatoa ile huduma nyingine kama hawana akili vileee...( hapa nazungumzia % kubwa)