wadada the guide jinsi ya kumkubali mpenzi

..12 mtembelee home kwake ila kumbuka no moja ..
Hapa pagumu...anaweza kujuta! Kuna mageto megine, 'demu' akiingia tu hatoki bure (sio kwa kubakwa!...anajikuta mwenyewe anajisikia 'kuchojoa'!)
 
Hapa pagumu...anaweza kujuta! Kuna mageto megine, 'demu' akiingia tu hatoki bure (sio kwa kubakwa!...anajikuta mwenyewe anajisikia 'kuchojoa'!)
ni kweli lakini lazima uende
 
ni kweli lakini lazima uende
Ni sawa...ingawa inabidi kuwa makini kweli.

Halafu mwanamke unayemlenga kwenye hiyo guide yako ni yule ambaye 'hisia' zake ziko mbali au ana uwezo mkubwa wa kucontrol hisia zake. Issue nyingine katika mahusiano mapya ni balance of power (worthness)...utakuwa na uwezo wa kusubiri miezi sita kama wewe mwenye haupo desperate na ni kwa kiasi gani upo tayari kumpoteza huyo potential candidate. Say una miaka 35 yrs hakuna potential candidate aliyejitokeza halafu anatokea mmoja, ni kweli utaweza kuhold kwa miezi sita? Ni wanaume wangapi wapo tayari kusubiri/'kuzungushwa' miezi sita? Labda kama una kitu ambacho huyo potential candidate anaona ni cha tofauti sana na wanawake wengine.
 
Sio kupumzika,nimeacha kabisa,nina miaka mi tatu sasa,tatizo nashindwa kukuthibitishia!

Kuacha miaka mitatu is not a guarantee kuwa hautofanya forever, wengi huwa wanasema hayo kutokana na dhahama walizopitia kwenye mahusiano yao but as time goes on wanajikuta wameingia tena kwenye hizo mambo na ndipo wanapogundua kwamba hawakuacha bali walipumzisha akili!!
 
Ni sawa...ingawa inabidi kuwa makini kweli.

Halafu mwanamke unayemlenga kwenye hiyo guide yako ni yule ambaye 'hisia' zake ziko mbali au ana uwezo mkubwa wa kucontrol hisia zake. Issue nyingine katika mahusiano mapya ni balance of power (worthness)...utakuwa na uwezo wa kusubiri miezi sita kama wewe mwenye haupo desperate na ni kwa kiasi gani upo tayari kumpoteza huyo potential candidate. Say una miaka 35 yrs hakuna potential candidate aliyejitokeza halafu anatokea mmoja, ni kweli utaweza kuhold kwa miezi sita? Ni wanaume wangapi wapo tayari kusubiri/'kuzungushwa' miezi sita? Labda kama una kitu ambacho huyo potential candidate anaona ni cha tofauti sana na wanawake wengine.
kama ni wa kweli atasubiri kwani mahusiano sio sex
 
1 usiwe mwepesi kuvua nguo –hii itakusaidia naturally kujua ni mtu mwenye niaya dhati au ni wa kusepa(at least six month)
2. kuwa romantic-upendeze kiukweli ili kujua mihemko yake ni % ngapi na level yake ya resistancetowards mihemko
3. kuwa naturaly kamaunakunywa kunywa kama ni mtu wa kununa kaa hvo hvo
4 kuwa na haiba yakike-usivute sigara bangi ,usiwe mlafi,wala kutoa matusi mbele yake hata kamaweweni wa hvo
5 usimpige mizinga walausimpe story za familia yako hata kama yeye ata fanya hvo iwe ni baada at leastwk 3 kama atakuwa hajasepa
4 usimwambie idadikamili ya wapezi wako unaeza kumwambie yeye ni no 2 hata kama wapo mia hamnamita ya kupima so hawezi jua
5 usimueleze ukwelikuhusu kipato chako especially kama ni kizuri wanaume wengine wapo after money
6 kuwa mtu wamawasiliano especially siku za mwanzo hata usiku wa manane –kama ni muongousiku hatopokea simu piga chini siku iyo iyo
7 usimtambulishe kwa mtuyeyote yeye akikutambulisha potezeahii itakufanya uwe na heshima pale pale hata kama akisepa
8 angalia maneno yake kuhusu miaka yenu ya mbeleunaweza kumwambia mfano nataka kusoma ,nataka kujenga cheki mawazo yake kilazautamjua tu the way atakavokushauri
9 imani –church,mosqueattendance kama si mtu wa dini jua tu mahusiano yenu hayatakuwa mazuri so jpiliukion mtu anaipotezea jua tu haupo sehemu sahihi kimbia
10 muueleze matatizoyako kwa akili kumbuka no 5 sio kumpiga mizinga then cheki reaction yake

11 cheki movement zasimu yake kimya kimya je ukiishika tu anareact? Anaipokea kwa amani akipigiwa?

12 mtembelee home kwakeila kumbuka no moja

13
mwambie muende angaza kwanza mkapime hiv
nitaendelea kesho

hapoooo penye nyekundu nahakika hawezi hata yeye hawezi thubutu sema.....hapo hapo
 
Back
Top Bottom