IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,463
- 7,385
Mhhhhh_this does not work in the real world1 usiwe mwepesi kuvua nguo hii itakusaidia naturally kujua ni mtu mwenye niaya dhati au ni wa kusepa(at least six month)
2. kuwa romantic-upendeze kiukweli ili kujua mihemko yake ni % ngapi na level yake ya resistancetowards mihemko
3. kuwa naturaly kamaunakunywa kunywa kama ni mtu wa kununa kaa hvo hvo
4 kuwa na haiba yakike-usivute sigara bangi ,usiwe mlafi,wala kutoa matusi mbele yake hata kamaweweni wa hvo
5 usimpige mizinga walausimpe story za familia yako hata kama yeye ata fanya hvo iwe ni baada at leastwk 3 kama atakuwa hajasepa
4 usimwambie idadikamili ya wapezi wako unaeza kumwambie yeye ni no 2 hata kama wapo mia hamnamita ya kupima so hawezi jua
5 usimueleze ukwelikuhusu kipato chako especially kama ni kizuri wanaume wengine wapo after money
6 kuwa mtu wamawasiliano especially siku za mwanzo hata usiku wa manane kama ni muongousiku hatopokea simu piga chini siku iyo iyo
7 usimtambulishe kwa mtuyeyote yeye akikutambulisha potezeahii itakufanya uwe na heshima pale pale hata kama akisepa
8 angalia maneno yake kuhusu miaka yenu ya mbeleunaweza kumwambia mfano nataka kusoma ,nataka kujenga cheki mawazo yake kilazautamjua tu the way atakavokushauri
9 imani church,mosqueattendance kama si mtu wa dini jua tu mahusiano yenu hayatakuwa mazuri so jpiliukion mtu anaipotezea jua tu haupo sehemu sahihi kimbia
10 muueleze matatizoyako kwa akili kumbuka no 5 sio kumpiga mizinga then cheki reaction yake
11 cheki movement zasimu yake kimya kimya je ukiishika tu anareact? Anaipokea kwa amani akipigiwa?
12 mtembelee home kwakeila kumbuka no moja
13 mwambie muende angaza kwanza mkapime hiv
nitaendelea kesho
1.Wanaume wengi almost(though doesn't count) 98% hatuwezi kuvumilia kufukuzia miezi 6 bila ku do.
2.Kupendeza hiyo ni sawa kabisa...twapenda wasafi na wanaopendeza.
3.Kuwa natural ni suala zuri na it pays in long run
4.Yap_mizinga inaboa sana,na hasa unapogundua unafanywa ATM
5.Mawasiliano muhimu_lakn yale ya usiku wengine hatupendi..kwa hiyo kuwa makini
6.Suala la kutambulishwa kwa jamaa zenu wengi hatujali ki vile...hivyo sio issue
7.Hii habari ya kwenda church/msikitini nayo sio issue kwani tumeona wengi wanamahudhurio mazuri sana lakn hovyo mpaka kinyaa...hivyo take it easy
8.Kama ghetto karibu sana na wala hakuna noma..ila kumbuka kuvunja hiyo no.1-kama hauwezi basi na wengine hatuna uvumilivu wa hilo.
9.Hilo la angaza poa...kama vip kinga zipo
Ntaendelea kutoa ushirikiano kadri ninapopata nafasi_maake wateja wa kushona na kubrash viatu ni wengi...si unajua mambo ya jua na vumbi.