wadada the guide jinsi ya kumkubali mpenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wadada the guide jinsi ya kumkubali mpenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Smile, Nov 2, 2011.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  1 usiwe mwepesi kuvua nguo –hii itakusaidia naturally kujua ni mtu mwenye nia ya dhati au ni wa kusepa(at least six month)
  2. kuwa romantic-upendeze kiukweli ili kujua mihemko yake ni % ngapi na level yake ya resistancetowards mihemko
  3. kuwa naturaly kama unakunywa kunywa kama ni mtu wa kununa kaa hvo hvo
  4 kuwa na haiba yakike-usivute sigara bangi ,usiwe mlafi,wala kutoa matusi mbele yake hata kama weweni wa hvo
  5 usimpige mizinga wala usimpe story za familia yako hata kama yeye ata fanya hvo iwe ni baada at leastwk 3 kama atakuwa hajasepa
  4 usimwambie idadi kamili ya wapezi wako unaeza kumwambie yeye ni no 2 hata kama wapo mia hamna mita ya kupima so hawezi jua imetumia unit ngapi
  5 usimueleze ukweli kuhusu kipato chako especially kama ni kizuri wanaume wengine wapo after money
  6 kuwa mtu wa mawasiliano especially siku za mwanzo hata usiku wa manane –kama ni muongo usiku hatopokea simu piga chini siku iyo iyo
  7 usimtambulishe kwa mtuyeyote yeye akikutambulisha potezea hii itakufanya uwe na heshima pale pale hata kama akisepa
  8 angalia maneno yake kuhusu miaka yenu ya mbele unaweza kumwambia mfano nataka kusoma ,nataka kujenga cheki mawazo yake kilaza utamjua tu the way atakavokushauri
  9 imani –church,mosque attendance kama si mtu wa dini jua tu mahusiano yenu hayatakuwa mazuri so jpili ukion mtu anaipotezea jua tu haupo sehemu sahihi kimbia
  10 muueleze matatizoyako kwa akili kumbuka no 5 sio kumpiga mizinga then cheki reaction yake

  11 cheki movement za simu yake kimya kimya je ukiishika tu anareact? Anaipokea kwa amani akipigiwa?

  12 mtembelee home kwakeila unaweza kubakwa sometimes nenda hata siku upo period kuepusha majanga. kumbuka no moja

  13 mwambie muende angaza kwanza mkapime hiv
  nitaendelea kesho

   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Bebii nimekumiss
  Ila hizo ulizotoa wanafanya kinyume chake
  Siku ya kwanza tayari na kuvuana na kuombana vocha na kutaka kujua ni lini ndoa wakati hata sikujui
  Yaani wengi wanafanya vise versa ila bora umetoa darasa
   
 3. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Hiyo namba moja it depends on mazingira na feelings maana kuna maneno ukipewa na mazingira mnayoongelea mwenyewe unasema kufuli linakupa joto unamuomba akusaidie kulitoa,,
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hiyo namba moja ilikuwa inatumika miaka ya 47, siku hizi dakika tano nyingi sana tena unaweza kujiuliza skills za kutongoza zimeisha nini?
   
 5. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Upo juu mamito bebii!ila ungetupm wadada tu asa ushaweka hadharan jamaa watatushtukia na kututafutia mbinu mbadala!
  Hala hala mwendelezo wa kesho iwe exikulusivu kwa wadada tu lol!
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Bebii bana,hayo yote hakuna kati ya mabint wanafanya,mnakutana leo kesho anakuambia,ooh hela ya salun imepungua,mara vocha,wizi mtupu!Mbinti mna matatizo sana!
   
 7. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Alo haloooooooo!! Jameni rahaaaaaaa!!!!
   
 8. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,675
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Bebii hizo 3 na 4 umenichanganya, 3 umesema wawe natural, mara 4 unawaabana sijakuelewa hapo, mi naona kama ni mtukanaji, mlafi na mengineyo uyafanye tu ayajue na hapo akikukubali na vituko vyako vyote ndio unatia tiki ya uhakika.

  Na kwenye hii 12, hivi kweli meni umtembelee home kwake akuachie! wapendwa wengi hii imewakosti sana, hapo unataka kuwauza.

  Hiyo 13, sijui!
   
 9. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  haah haaah haaah dah thus y i love Jf
   
 10. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kuifata nimuhimu sana...lakini wanaume wengine vipaji vyakuongea minaona bora kwake nisende tukutane jujutu nikienda kwake ndio nimeshakubali litakalo nitokea....
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Leo umeamka vizuri kweli haya mapoint ningekuwa bado msichana ningeyatekeleza
   
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nipo mkuu sema majukumu
   
 13. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  unaenda siku upo kwenye moon
   
 14. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  tabia zingine noma bwana si unaelewa utampeperusha ndege ila no 12 unaenda kwa kujilinda unawezakwemda hata siku upo kwenye moon si unaelewa?
   
 15. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mambo hadharani bwana loh?
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  utajiju sasa ndo ivo utamegwa na kuachwa dear
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hapa wanataka mabuzi
   
 18. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Wengine mambo ya mabint tumeayaacha,hamtupati!
   
 19. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mmmmmmmmmh mbona ulinipm?
   
 20. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Mhhhhh_this does not work in the real world
  1.Wanaume wengi almost(though doesn't count) 98% hatuwezi kuvumilia kufukuzia miezi 6 bila ku do.
  2.Kupendeza hiyo ni sawa kabisa...twapenda wasafi na wanaopendeza.
  3.Kuwa natural ni suala zuri na it pays in long run
  4.Yap_mizinga inaboa sana,na hasa unapogundua unafanywa ATM
  5.Mawasiliano muhimu_lakn yale ya usiku wengine hatupendi..kwa hiyo kuwa makini
  6.Suala la kutambulishwa kwa jamaa zenu wengi hatujali ki vile...hivyo sio issue
  7.Hii habari ya kwenda church/msikitini nayo sio issue kwani tumeona wengi wanamahudhurio mazuri sana lakn hovyo mpaka kinyaa...hivyo take it easy
  8.Kama ghetto karibu sana na wala hakuna noma..ila kumbuka kuvunja hiyo no.1-kama hauwezi basi na wengine hatuna uvumilivu wa hilo.
  9.Hilo la angaza poa...kama vip kinga zipo

  Ntaendelea kutoa ushirikiano kadri ninapopata nafasi_maake wateja wa kushona na kubrash viatu ni wengi...si unajua mambo ya jua na vumbi.
   
Loading...