wadada the guide jinsi ya kumkubali mpenzi

kama ni wa kweli atasubiri kwani mahusiano sio sex
Unadhani ni wanaume wengi wanafikiri hivyo? Kusubiri kila mwanaume anaweza kusubiri ......lakini issue ni anasubiri kwa muda gani? Unless kama unakuwa umeshamwambia kuwa 'unambania' kwa miezi sita tu halafu 'utaachia'!
 
Lazima akubali,si ananipenda na tupo gheto!

hahahahaaa......u know what??? Mapenzi hayaendi na kitu kinachoitwa 'lazima', so kukupenda sio sababu ya yeye kukubali kukagulia kwamba ni really naniliu au ni ubuyu/chilli!! Na akikuachia umkague kweli mmmh........sijui.....labda mzembe aisee!! Ukisema lazima mi nakwambia taratibu, adi unavusha mwenyewe!!
 
Kipipi,ni kweli usemayo sitakulazimisha nitakapotaka gem wewe mwenyewe unavua kisha unanionesha kwa upendo,hivyo ndo itakuwa!Una swali?
 
Unadhani ni wanaume wengi wanafikiri hivyo? Kusubiri kila mwanaume anaweza kusubiri ......lakini issue ni anasubiri kwa muda gani? Unless kama unakuwa umeshamwambia kuwa 'unambania' kwa miezi sita tu halafu 'utaachia'!

Unaweza kucreate trust as much as you can through other things and talks, ukiona anajifanya eti kichwa ngumu sana kwenye sex tu, unamuacha anasepa!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Unadhani ni wanaume wengi wanafikiri hivyo? Kusubiri kila mwanaume anaweza kusubiri ......lakini issue ni anasubiri kwa muda gani? Unless kama unakuwa umeshamwambia kuwa 'unambania' kwa miezi sita tu halafu 'utaachia'!
tunataka kuona resistance yake atakaevumilia mpaka mwisho ndie atakaevikwa taji
 
Kipipi,ni kweli usemayo sitakulazimisha nitakapotaka gem wewe mwenyewe unavua kisha unanionesha kwa upendo,hivyo ndo itakuwa!Una swali?

Let me tell you Eiyer! Uyasemayo yanawezekana kama sijatokea home na imehappen may be nilikuwa sehemu flani ukanitaka nije so nikaapply fasta fasta tu na ni rahisi kwako we kuniteka. But if nimetoka nyumbani kabisa na nimeplan hiyo kitu tena both sides A & B.......siwezi achia, unless u-subdue my consent!! Sina swali dear.
 
Kipipi dear,kuwa mkweli kwenye swali ninalokuuza sasa,swali lenyewe ni hili;hivi siku binti anapodo na mpenzi mpya huwa anakua amepanga?Dear usinidanganye hapa!
 
tunataka kuona resistance yake atakaevumilia mpaka mwisho ndie atakaevikwa taji
Tatizo jingine la kumsubirisha ni kuongeza expectation kwa muhusika...sasa chance ya kum dis appoint nayo inakuwa kubwa kweli siku ukija kuamua kumuachia (hiyo miezi sita). Utamfanya ajiulize hivi " Yaani Bebii kunizungusha kote kule kumbe........!"...halafu kama amekuwa disappointed sana immediately anaanza withdrawal strategies (atakataa kuvikwa taji!).
 
ndo mana kuna kitu inaitwa survival for the fitest........
 
Kipipi dear,kuwa mkweli kwenye swali ninalokuuza sasa,swali lenyewe ni hili;hivi siku binti anapodo na mpenzi mpya huwa anakua amepanga?Dear usinidanganye hapa!

Naelewa saana situation kama hizo huweza tokea pengine bila mhusika kupanga, but kwa hii kesi tunayoizungumzia ya mpaka kuweka chilli i.e that particular day........mmmh unless my first option applies!!
 
1 usiwe mwepesi kuvua nguo –hii itakusaidia naturally kujua ni mtu mwenye niaya dhati au ni wa kusepa(at least six month) Hii inategemea na mtu mwenyewe... It can be longer or shorter. Much shorter...
3. kuwa naturaly kamaunakunywa kunywa kama ni mtu wa kununa kaa hvo hvo
4 kuwa na haiba yakike-usivute sigara bangi ,usiwe mlafi,wala kutoa matusi mbele yake hata kamaweweni wa hvo Hii inacontradict number 3, just be natural. Ila kwa kawaida mwanamke hatakiwi kua na baadhi ya hizo tabia hapo juu. (hata mwanume in fact)
6 kuwa mtu wamawasiliano especially siku za mwanzo hata usiku wa manane –kama ni muongousiku hatopokea simu piga chini siku iyo iyo. Kama huna hoja la msingi la kumpigia saa hizo usipigi kabisa. Usimpigie kwa kumjaribia, hata mimi siwezi kupokea sim za usiku, even if I know you. Labda uanze kwa kunitumia message unambie ni nini. Kuna watu wako hivo. Yuko peke yake ila tu hataki masim ya usiku... so be careful.
9 imani –church,mosqueattendance kama si mtu wa dini jua tu mahusiano yenu hayatakuwa mazuri so jpiliukion mtu anaipotezea jua tu haupo sehemu sahihi kimbia Hii kwa kweli sikubaliani nayo kabisa. Kuna watu wengi wazuri tu na wanafaa kua nao katika long term relation ila sio very religious, or not religious at all.
10 muueleze matatizoyako kwa akili kumbuka no 5 sio kumpiga mizinga then cheki reaction yake. Unless ni matatiso ya kweli na unadhani atakusaidia kweli usiongee matatizo yako kwa watu wa nje. Na watu wengi wanaamini kua mwanamke akikuomba hela wakati hamjawa connected sana ni diggers tu.
Zingine zote nimekubaliana kabisa, kabisa. Thanks Bebii
 
asante my dia rr kesho uje ushuhudie zingine bado zinaendelea
Nasubiri kwa hamu. Na hapo ulipo sema ni kwenda kwake ukiwa kwenye moon wala sio lazima. Akiomba unamwambia tu kua hauko tayari kukutana nae sababu unaona mapenzi hayaja changanya. Atakataa nini hapo? Mbona ni swala la kukubaliana? Na ukisema NO, just mean it, nadhani atakuheshimu zaidi. Hiyo kitu sio soda baridi eti mgeni akifika home lazima apewe...
 
Kipipi bana,haya bana ila jamaa anapotaka gem ni bora ukawa muwazi kwa kumuonesha!
 
Kipipi bana,haya bana ila jamaa anapotaka gem ni bora ukawa muwazi kwa kumuonesha!

mmmh.......my dear, just imagine nimeweka kitu gelesha alafu eti nivue nikuoneshe?? Lol.......hapana bana, hahaha coz najua nitaumbuka and my strength itapotea!!
 
Back
Top Bottom