Wadada simeni ukweli kuhusu hili

Unaweza kuwa navyo vyote hivyo lakini vikawa vya kuazima

hapooo sasaaa!! wengi tunaingia huo mtego.
Pia nimesahau, hygene kwa ujumla pia inafuata, makucha, nywele, meno etc.
jamani ila kitu cha ajabu kwangu, huwa eti naanzia kwenye viatu na mkanda!!!
sina hata sababu ya msingi, basi tu, najua inaweza kuwa vya kuazima au mtu kajitokea simple na viwalo vyake vya zamani,
lakini kwa kweli hata sijui kwa nini.
Pia huwa nahakikisha namtupia macho mister wangu viatu vyake kabla hajatoka home, pia huwa natoa special priority kwa sandals zake hadi amejua anajitahidi mwenyewe, kwani ameona matokeo yake, huwa anaambiwa huko aendako kama kafulia au vipi.
Sio lazima ndo umkubali mtu kuwa mpenzi wako, ila kuwa smart kunasaidia au kupotosha mahusiano ya namna yoyote yanayokuja mbeleni, ya kiajamii au kikazi. heshima au dharau,
 
PIA NINGEPENDA KUWADOKEZA WAKAKA,hata kama utakuwa umevaa viatu sahihi,perfume na nguo nzuri hakikisheni kuvaa soksi zilizotoboka ni mwiko,kwa kweli mdada akitokea akakuona umevaa soksi vidole viko nje utakuwa umem-put off vibaya sana.
 
SASA SI MPAKA TUANZE KUVUA NGUO,YAANI TUMEKUTANA TUU TUANZE KUONYESHANA SOKSI,HIYO HAMNa
 
hapooo sasaaa!! wengi tunaingia huo mtego.
Pia nimesahau, hygene kwa ujumla pia inafuata, makucha, nywele, meno etc.
jamani ila kitu cha ajabu kwangu, huwa eti naanzia kwenye viatu na mkanda!!!
sina hata sababu ya msingi, basi tu, najua inaweza kuwa vya kuazima au mtu kajitokea simple na viwalo vyake vya zamani,
lakini kwa kweli hata sijui kwa nini.
Pia huwa nahakikisha namtupia macho mister wangu viatu vyake kabla hajatoka home, pia huwa natoa special priority kwa sandals zake hadi amejua anajitahidi mwenyewe, kwani ameona matokeo yake, huwa anaambiwa huko aendako kama kafulia au vipi.
Sio lazima ndo umkubali mtu kuwa mpenzi wako, ila kuwa smart kunasaidia au kupotosha mahusiano ya namna yoyote yanayokuja mbeleni, ya kiajamii au kikazi. heshima au dharau,

Ina maana Haika,
hata mabarabarani huko huwa,
unapita, ukipishana na wanaume,
macho kodokodo kwenye viatu na mikanda. lol....
 
Tatizo ni kwamba wakati wanawake huwa wanapenda kutuweka kwenye makundi, wanaume hatufanyi hivyo. What matters ni ili mradi mkono umeingia kinywani. But the real fact is that in women there are gold diggers, smuts, cheaters, sneaks, the nice girls that you don't have to sweat bullets over, etc. QUOTE]

hi EMT!mimi hapo sina la kusema ila viatu+saa si vigezo kabisa kwangu
 
wewe marytina vigezo vyako ni vipi?
 
mie maongezi yake tu kwa mara ya kwanza yananijuza yote ni mwanaume wa namna gani
 
''Ni vitu gani ambavyo mwanamke anaviangalia kwanza anapokutana na mwanaume? Je,anaangalia sura? Je,anaangalia tabasamu? Anaangalia au anavutiwa na nini hasa?
huwa wanaangalia vitu gani wanapokutana na mwanaume kwa mara ya kwanza iwe ni kazini,katika party,club nk?

Majibu yenu yanahitajika hapa ili wanaume wawe wanajua mnapenda nini hasa?

[/URL]

Ukikutana na mwanaume kitakachokuvutia kitategemea na mahali ulipomkuta.Kama ni shambani utakosea sana kutafuta mkanda, saa, viatu au perfume.Nadhani wale wakina dada wanaotafuta wachumba kijijini au kwingineko ambapo kazi za nguvu/kilimo ndio livelihood basi watajali sana mpiga mzigo wa kutosha!
Kama ni shule/vyuo etc basi utajali sana yule mwenye akili na bidii ya kitabu etc

Ukija sehemu za kazi kadhalika utaanza kuangalia yule mtendaji mzuri mwenye kutumainiwa maana utajipatia heshima kwa kuhusika na mtu kama huyo.

Kama ni kwenye sherehe/starehe basi utaangalia mivao ya mhusika na usafi/utanashati - hapo sasa ndio mambo ya perfumes/colognes /after-shaves yanaingia pamoja na vikorombwezo vingine.

Mwisho wa siku ni wewe mdada utaamua kati ya sura nzuri na pumba kichwani, akili kichwani yenye kuweza kumudu an intelligent conversation na sura ya kawaida or both, utachagua nini kitakufaa zaidi katika maisha yako.

Kuna wenye kujali sana muonekano wa nje bila kujali uzuri wa mtu wa ndani. Hawa hujakujikuta na wakati mgumu pale uzuri huo unapokuja kuwa kitu cha kawaida baada ya kuzoeana. Hii ni kwa wote wanawake na wanaume. Utaona huo uzuri ni kero badala ya faraja.
 
Mfuate demu umepiga chachacha na soksi, juu una kaptura ya bukta, yaani hukubaliwi na hausi geli wala changudoa anayejiuza mtaani.
lol.
kama hadi changudoa wanakukataa lazima uwe na mikosi coz machangudoa hata uvae nini wanakupokea mradi pesa yako tu.
 
Mmmmmh siamini!!
Mzima lakini wewe m-kaka!

Nlikutumia salamu ulizipata!
Kama ulizipata kwa nini hukujibu!

Mi mzima lakini cha kwanza elewa mm ni mgumu aka msolid

Vp mbona kimyaa sijazipata mbona?? ulituma Radio One?
 
najua kuvua nguo ni hatua ya muda mrefu.lkn unaweza ukajikuta mnaingia mahala mnavua viatu,hata hospitali sehemu nyingine lazima kuvua viatu.

Kuna jamaa mmoja mtanashati kweli ananukia haswaa kiatu kinang'aa lakini akiingia mahala ambapo inatakiwa kuvua viatu inakuwa ishu akivua tu hali ya hewa inachafuka sehemu husika mnao penda viatu angalieni
 
Ina maana Haika,
hata mabarabarani huko huwa,
unapita, ukipishana na wanaume,
macho kodokodo kwenye viatu na mikanda. lol....

jamani si mmetaka ukweli???
manake ni kawaida kujudge mtu kila anapokokea au sio jamani, kuna wakati hio judgement sio muhimu kwa isue ilo mbele yako, mfano kama muuza duka hajanyoa nywele au kava malapa ya bafuni tena yamefungwa na kamba baada ya kukatika, haihusu kabisa, ila utakaposikia mdogo wako anashinda hapo itabidi ushtuke.
mfano wanaume wanapoona mwanamke yoyote kuna vitu vinastrike, lakini sio kila mara unavifanyia kazi, nadhani huwezi kubadili duka la kunua mashati simply yule dada yuko kama ......... ila utakaposikia ndugu yako anataka kutembelea pale lazima utakumbuka.

sio vibaya jamani kuappreciate vitu na mazingira yanayotuzunguka, tujitahidi tuyapendezeshe kwa pamoja.
 
Vipi na yule anaevaa viatu bandabundu, hana simu, wala saa?mkanda havai, suruali za kushonesha bado anavaa, na wala hanukii? lakini unajua anafanya kazi nzuri na ana uwezo wa kuvinunua?
huwezi kumpa nafasi huyu then ukaanza kumbadilisha kimoja baada ya kingine?

Kama anayo personality nayotaka na hana vya hapo juu!mimi naangaliaga miguu tu ili kujua kama huyu anafaa au hafai
tehetehe
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom