Wadada simeni ukweli kuhusu hili

Viatu viwaje sasa?

Watu hawavai saa siku hizi simu imetosha.
Hivi kumbe haya ni ya kweli?

Mi sijui mwanaume asiyevaa saa namuonaje.........:coffee:

wenye visimu vya tochi kama changu wanaonekana walevi na wabahili.............:laugh:
 
Sasa wewe saa inakuvutia nini?

:peep::behindsofa::behindsofa: hapa itabidi tuwe tunajificha na visimu vyetu
 
Inaweza nionyesha taste ya mwanaume, maturity yake,uwezo wake wa kifedha(kwenye hili other factors combined as yawezekana kapewa zawadi),inaonyesha pia tabia,mfano malimbukeni na mabitozzzzzzzzzzzz wana misaa yao...........:laugh::roll:
 
Kesho naenda shoping ya Saa na viatu tu kwa kuanzia.
Inaweza nionyesha taste ya mwanaume, maturity yake,uwezo wake wa kifedha(kwenye hili other factors combined as yawezekana kapewa zawadi),inaonyesha pia tabia,mfano malimbukeni na mabitozzzzzzzzzzzz wana misaa yao...........:laugh::roll:
 
mi macho yake tu, kwa macho nawezajua kama ni mhuni ama mstaarabu, mkweli ama muongo, mcha Mungu au mbabaishaji, mkarimu au mzinguaji nk. for me, the eyes speak out everything for a man

mengine huwa siangalii kwani kama walivyosema wengine yananunulika, tabia pekee hainunuliki wapendwa
 
Sasa za kuchezea mpira tena nakumbuka tulikuwa tunaita njumu , daluga , ndula na majina mengine ......sasa hizi kweli si ndio mtamkimbia kabisa?
mkuu, huku kijijini samtaimu tunavaa chachacha tu na tukipita mtaani jamaa wanasimama kututolea heshima.
 
kaka watu tuna ombea tubugudhiwe we hupendi?

Tatizo ni kwamba wakati wanawake huwa wanapenda kutuweka kwenye makundi, wanaume hatufanyi hivyo. What matters ni ili mradi mkono umeingia kinywani. But the real fact is that in women there are gold diggers, smuts, cheaters, sneaks, the nice girls that you don't have to sweat bullets over, etc.

At the end of the day, the most important thing is just be who you are. Kama mwanamke akikupenda atakupenda because of the way you are. Don't expect that you are going to attract women by buying new shoes or a new phone. You will be disappointed. Instead may be look at your personality kama sio nzuri. Hiyo itakusaidia kuishi na watu in general and everyone will like to be around you.

It's difficult to say what women want to see in a man at first sight, because just like men are all different, so are women. Different women have different tastes. Wapo watakaokuwa attracted to you due to your confidence, money, looks, style and body language. Pia wapo wanaongalia zaidi physical attraction. Wako watakumind kwa sababu ya macho yako ya blue, meno yako, nywele, n.k. Same to women. Wapo ambao utawambia umewamid kwa sababu ya sura zao still wakakutolea nje. Mwingine utamwambia umependa vidole vyake vya miguu anakuzimia.

Even personality-wise, some personality characteristics may be attractive to one woman, but irritating to another. Just focus on being yourself, and you'll find a woman who is attracted to you, not just some general, pseudo-you version of yourself that you've concocted to attract female carbon-based units. Na hii ndio maana inasabanisha mahusino mengi kuvunjika. Binti anaingia line akifikiri you're the real one, only to realise later that you're not actually the one she just met on the bus few days ago, pale tuu utakapoanza kuwa the real you.

Your shoes might catch a girl's eye quicker, but that's not necessarily a good thing. You want a girl to like who you really are, not a girl that is only in love with your shoes. Kama wewe ni Hashycool then be Hashycool; not Klorokwini.
 
Nimekuelewa naona umeenda kiundani zaidi mwenye kuelewa hatakuwa amepata chochote what women they want from us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom