Wadada simeni ukweli kuhusu hili

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,053
653
Katika kusoma soma Blog nimekutana na hili hapa sasa naomba kujua kutoka kwenu hili linaukweli? Aliyefanya utafiti alikuja na majibu haya si mimi naombeni mnifumbue macho ....
''Ni vitu gani ambavyo mwanamke anaviangalia kwanza anapokutana na mwanaume? Je,anaangalia sura? Je,anaangalia tabasamu? Anaangalia au anavutiwa na nini hasa?Hapa najaribu kuzungumzia vitu ambavyo vinaangaliwa kwa mtizamo wa haraka haraka kabla mambo mengine hayajawekwa kwenye mstari kama vile kujua mtizamo wa mtu katika maisha,ndoto alizonazo,imani,anavyojali na kupenda maisha nk.
Miaka takribani miwili iliyopita,niliwahi kuketi katika kundi la wanawake,nikawauliza kwa haraka haraka huwa wanaangalia vitu gani wanapokutana na mwanaume kwa mara ya kwanza iwe ni kazini,katika party,club nk?
Majibu waliyonipa yalikuwa mengi. Lakini miongoni mwa majibu mengi,ilikuwa wazi kabisa kwamba kuna vitu vinne ambavyo wengi miongoni mwa wanawake niliokuwa nao katika “genge” lile huviangalia ni Saa aliyovaa,mkanda wake(hususani kama unaonekana-maana anaweza kuwa kachomolea),viatu alivyovaa na kisha manukato au anavyonukia(akinuka hiyo ni habari nyingine kabisa)
Kwa namna fulani,naurejesha huu mjadala hapa.Je,wewe kama mwanamke,ukikutana na mwanaume hivi leo,kabla hujamjua zaidi,unaangalia vitu gani?

Majibu yenu yanahitajika hapa ili wanaume wawe wanajua mnapenda nini hasa?

Read more: SAA,MKANDA,VIATU NA MANUKATO-UNAJALI? - BongoCelebrity
 
Saa,aina au muonekano,designer wa saa ya mwanaume, unaweza kupa majibu ya maswali mengine.......:laugh:

Then of coz viatu....material ya viatu na nguo na jinsi alivyo-match juu hadi chini

Lastly,harufu yake :coffee:
 
hapa nimejua mengi mambo ya kunuka kama beberu kumbe naweza kosa mengi?
Saa,aina au muonekano,designer wa saa ya mwanaume, unaweza kupa majibu ya maswali mengine.......:laugh:

Then of coz viatu....material ya viatu na nguo na jinsi alivyo-match juu hadi chini

Lastly,harufu yake :coffee:
 
Nitajitahidi sasa angalau nijikomboe je ni viatu gani hivyo? kweli kuna vitu vidogo vinatufanya tukose mengi.
YEs Zipuwawa........so next time know how to wear your shoes my dear..........it tells a lot about you.!! hashycool can tell you more!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom