Wadada simeni ukweli kuhusu hili

Mi sijui mwanaume asiyevaa saa namuonaje.........:coffee:

wenye visimu vya tochi kama changu wanaonekana walevi na wabahili.............:laugh:

ahhhh ahhhh shost mbavu zangu mieeeeeeeee...mie mwanaume aliyeshika blakbel na yule aliyeshka kitoch ni bora wa kitoch..(km wote wapo kwenye status moja)
sipend complcation so uyu wakitoch najua anajua nini anataka na si show off msimu uuuo ,misimu mitano tano mkonon..ahh mwanaume anayejiamin bwana ni yule mwenye kitoch ili hali uwezo wa kununia simu kali ya milion 3 anao bt stl ana kitoch aahhhh mwaya NTAMCHUKUA UYU....yule anayepokea laki 6 then mbiiiio kanunua blakbel simtak....naona HANA MAWAZO

MWANAUME asiyevaa saa anakuwa na tabia ya kutojali,wapo wapo si makin..et utasema saa kwenye cm....apana saa mkonon ina maana kubwa..
 
Gudmornn Rose..umesema vizuri.kuna mtu yuko kwenye nyumba ya kupanga,hajalipa umeme,ndani kwake Mungu nsaidie but ana lisim la bei kubwa sana,namuona kama anaeza kuua watoto na njaa someday ili tu ajioneshe.lol!
 
nimepotea, wapi thread za mafisadi......................................!!!!!!!!!!!!!!
 
cha kwanza ni viatu!!!
viatu vitakuambia kama ni fisadi, muungwana, masikini, ombaomba, mchafu, mzembe, hana mpangilio, mchungaji wa kanisa, MLEVI, etc. unaweza kumkubali au kumkataa mtu kwa kuangalia viatu vyake. Mara nyingine huwa unakujutia uamuzi wako wa kuviangalia na kufanya maamuzi kwa kuvifuata.
Mara nyingine baada ya kuangalia viatu unaweza kupata busara ya kuangalia vitu vingine na kusikiliza stori zingine, ili kupata sababu ya kuignore msg ya vile viatu.
pia muhimu posture, sauti, size ya viatu, saa/simu, gari, mkanda, material na choice za nguo zake nk.
Bahati mbaya tabia huja baadae, na huwa inalinganishwa na kushindanishwa na hivi vitu,
Hopefull na kwa maombezi tabia inashinda, ila mara nyingi sana haishindi, ndio tunaishia kulia tu nakulalamika kila uhusiano baada ya uhusiano.
 
Eliyeleta hii mada umenifurahisha sana. Ukwepe kunuka kama beberu kuna deodorant na perfume za aina nyingi sana siku hizi. Lasivyo utakosa mwanan na maji ya moto.
 
hizo ndo prime show za mwanaume na si kwa wadada tu hata ukienda katika maofisi mbalimbali mtazamo wa kwanza kabla hujaongea(kuzingumza nalo ni suala jingine la kuonyesha upeo wako) ni juu ya hivyo vitu na bila kusahau umeweka vipi nywele na ndevu

Wanaume huangalia mengi kwa wadada ikiwamo Nywele,vivazi,necklace,saa,bangili,(i mean jewelleries )shoes na lastly perfume bila kusahau kuwa vinaendana na wakati na wasaa vilipovaliwa... hayo ya sura na maumbile yapo bila kujali mapambio,utatazamwa tu hata kama umevaa gunia ili mradi mvuto upo
..
sauti nayo mhhh ikikwaruza inatisha
 
Mimi kwa kuchungulia saa kwa simu mmmmh kumbe nitakosa mengi. Hapa naanza safari ya kwanda kununua saa. sasa nisaidie ninunue saa aina gani jamani michelle?
 
cha kwanza ni viatu!!!
viatu vitakuambia kama ni fisadi, muungwana, masikini, ombaomba, mchafu, mzembe, hana mpangilio, mchungaji wa kanisa, MLEVI, etc. unaweza kumkubali au kumkataa mtu kwa kuangalia viatu vyake. Mara nyingine huwa unakujutia uamuzi wako wa kuviangalia na kufanya maamuzi kwa kuvifuata.
Mara nyingine baada ya kuangalia viatu unaweza kupata busara ya kuangalia vitu vingine na kusikiliza stori zingine, ili kupata sababu ya kuignore msg ya vile viatu.
pia muhimu posture, sauti, size ya viatu, saa/simu, gari, mkanda, material na choice za nguo zake nk.
Bahati mbaya tabia huja baadae, na huwa inalinganishwa na kushindanishwa na hivi vitu,
Hopefull na kwa maombezi tabia inashinda, ila mara nyingi sana haishindi, ndio tunaishia kulia tu nakulalamika kila uhusiano baada ya uhusiano.

haika mbe...........!!!!!!
Viatu vinaonewa kweli leo, lol.........
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom