Wadada simeni ukweli kuhusu hili

USHAURI, Kina dada wacheni mambo ya kukagua Madume kama Mbuzi Sokoni, Kwani ndo hapo mna-chakachuliwa. Wapata jombi kapiga pamba ya kutosha na vigezo vyoote mpendavyo, ma-perfume ya bei ya juu. Mali yooote sio ya Kichina. Kumbe vyoote vya KUAZIMA!!!!, ukija gundua!!!, Jamaa keshamaliza na HUYOOOOOOOO!!!!!!!!!!
 
Saa,aina au muonekano,designer wa saa ya mwanaume, unaweza kupa majibu ya maswali mengine.......:laugh:

Then of coz viatu....material ya viatu na nguo na jinsi alivyo-match juu hadi chini

Lastly,harufu yake :coffee:
sijakupata vizuri hapo kwenye red.
 
wanaume tuna kazi kweli LD,
kumbe tunatakiwa tuwe na style za kuongea eeeeh,????

Habari yake style ya kuongea bacha!!
Yani vile unavyoongea unaweza ukanivutia au usinivutie bacha!
 
USHAURI, Kina dada wacheni mambo ya kukagua Madume kama Mbuzi Sokoni, Kwani ndo hapo mna-chakachuliwa. Wapata jombi kapiga pamba ya kutosha na vigezo vyoote mpendavyo, ma-perfume ya bei ya juu. Mali yooote sio ya Kichina. Kumbe vyoote vya KUAZIMA!!!!, ukija gundua!!!, Jamaa keshamaliza na HUYOOOOOOOO!!!!!!!!!!
na mimi HUYOOOOO AU atakuwa amekata miguu yangu?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom