Wadada simeni ukweli kuhusu hili

hivi chacha mwisho saa sita bado zipo kaka acha uongo bwana hizo zilikuwa enzi zetu si leo hii
mkuu, huku kijijini samtaimu tunavaa chachacha tu na tukipita mtaani jamaa wanasimama kututolea heshima.
 
Huo utaalamu wako nimeukubali kwa macho tu unajua alivyo? Ila cha msingi ni ni kuwa yote yananunulika kasoro Vitu kama tabia na vingine
mi macho yake tu, kwa macho nawezajua kama ni mhuni ama mstaarabu, mkweli ama muongo, mcha Mungu au mbabaishaji, mkarimu au mzinguaji nk. for me, the eyes speak out everything for a man

mengine huwa siangalii kwani kama walivyosema wengine yananunulika, tabia pekee hainunuliki wapendwa
 
Mavazi yanaongea kitu (Ila isijekuwa umeazima) na wakati mwingine hata ukiazima unaweza gundulika kwa sababu nguo ya kuazima haisitiri....

Saa na simu vinaongea.......
Sura nayo muhimu kwa kweli,

Umbo mrefu au mfupi, mnene au mwembamba.
Rangi, Mweusi au mweupe.

Baada ya hivo sasa naangalia anavyoongea na mengine yanafuata sasa tabia nk nk.
 
Kina mama hebu tusaidieni katika hili,si nasikia eti mkiona mwanaume mara ya kwanza instinctively kabla hata ya kuangalia viatu,saa,mkanda etc huwa mnaangalia vitu flan flan ili kujua kama njemba 'kiatu' chake ni size ya kutosha,au?
 
Mavazi yanaongea kitu (Ila isijekuwa umeazima) na wakati mwingine hata ukiazima unaweza gundulika kwa sababu nguo ya kuazima haisitiri....

Saa na simu vinaongea.......
Sura nayo muhimu kwa kweli,

Umbo mrefu au mfupi, mnene au mwembamba.
Rangi, Mweusi au mweupe.

Baada ya hivo sasa naangalia anavyoongea na mengine yanafuata sasa tabia nk nk.

Are you still RETHINKING???
 
wanaume tuna kazi kweli LD,
kumbe tunatakiwa tuwe na style za kuongea eeeeh,????
 
cha kwanza kabisa, sura yake, pili jinsi alivyopangilia mavazi yake, tatu jinsi anavyoongea
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom