Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Hao madaktari wanajifanya wanadeal na magonjwa ya kike matokeo yake ndo wanatulia wake zetu na dada zetu.mf akianza kukuonesha jinsi ya kutanua lips umeliwa.
aaaah,salaleeee.
Hao madaktari wanajifanya wanadeal na magonjwa ya kike matokeo yake ndo wanatulia wake zetu na dada zetu.mf akianza kukuonesha jinsi ya kutanua lips umeliwa.
Dah! Kumbe wanamama wana kazi hivi? Sema hizi mambo mngekuwa na group lenu mnaelekezana huko, ingekuwa babkubwa zaidi. Kuna vitu unasoma mwanaume humu, unaona aibu design. Vingine vinatujengea picha za ajabu kichwani. Ni mtazamo tu.
Hahaha. Acha fujo basi Da' Khantwe. Kichwa cha habari kipo wazi ndio, ila nina uhakika kila mwanaume aliyekiona kachungulia kuna nini.Kicha cha habari kinajieleza...mwanaume unafuata nini?
Hahaha. Acha fujo basi Da' Khantwe. Kichwa cha habari kipo wazi ndio, ila nina uhakika kila mwanaume aliyekiona kachungulia kuna nini.
Haha hebu ambaye hajachungulia aseme. Besides, kichwa cha habari hakijakataza tusio wadada kuingia.Wewe tu na kiranga chako wengine hawajachungulia wala...
Haha hebu ambaye hajachungulia aseme. Besides, kichwa cha habari hakijakataza tusio wadada kuingia.
Saivi sasa kila nikikuona, nafikiria tu unavyojaribu kulala bila defence. Awkward.
Hivi wanaume kwenye huu uzi mmefuata nini eti
Hahaha. Acha fujo basi Da' Khantwe. Kichwa cha habari kipo wazi ndio, ila nina uhakika kila mwanaume aliyekiona kachungulia kuna nini.
Aisee vyoo vya kukaa havifai kabisa kwa matumizi ya watu wengi. Labda mtu kaweka chumbani huko na mkewe sawa, lakini sio ndo kinakuwa choo kikuu cha familia nzima + wageni; aisee kupokezana makalio pale juu si sawa. Tena kwenye kupuu unaweza kuta maji yamekurukia yereuwiiiNi bora pia hata mwanamke abebe zile waipu za kufutia watoto kwenye pochi na kutumia akipata haja zote maana na maji ya mko.jo yakikaa sana mabaya.
Mie vyoo vya nje ya kwangu labda kwa wazazi au ndugu zangu mie ndio naweka matako.
Mengine ukihitaji haswa lazima usafishe na tishu na sabuni halafu nakata toileti pepa vipande vipande natandaza juu ya kiti ndio nakaa kama siwezi napita....
Hata zile waipu za kusafisha kuua vijidudu usiziamini utaweka tu tishu ukimaliza unasukumia chooni na kupande kingine
Si unaona sasa.Hahaaa lol......we mtoto adabu itawale
Ni elimu nzuri sijapinga. Ila ni kwa wanamama, na sio kwa watu wote. It's awkward kiaina. Na hapa mi nimesoma nusu nusu tu, sikuwa na ubavu wa kumalizia posts zote.Nafikili ni elimu nzuri kwa watu wote. Ukizingatia na jamii tunazoishi
Jf ni kichaka..Utaweza kuwa deile unatukanana na ndugu,rafiki au mpenzi wako humu bila mwenyewe kujuaHa! Ha! Ha! Nafikiria humu jamii forum.....
Naeza comment kumbe na comment post ya dadangu.... ama my .exe lol
We need a resution we have gotta so much confusions!
Teh teh...Ahsante kwa dondoo...Kwa niaba ya wifeAisee vyoo vya kukaa havifai kabisa kwa matumizi ya watu wengi. Labda mtu kaweka chumbani huko na mkewe sawa, lakini sio ndo kinakuwa choo kikuu cha familia nzima + wageni; aisee kupokezana makalio pale juu si sawa. Tena kwenye kupuu unaweza kuta maji yamekurukia yereuwiii
Njia nzuri ya kukojoa ni kama unafanya kegel exercise, pale flow ya mkojo ni ndogo sio unafika tu unaachia kojo lote kama ng'ombe waaaaaa, mkojo kukurudia ni rahisi
Ila nyie wanaume ni wanywanywa khaa, em tokeni. Huku leo muite tu ma mdogo. Ila hapo kwenye choo cha kukaa tu usije tuwekea familia nzimaTeh teh...Ahsante kwa dondoo...Kwa niaba ya wife
Teh teh..Ma mdogo ako hayupo huku kwa sasa..Ndo nikasema nipite niibe dondoo mbili tatu ili nikapenzishe..Nwei ngoja nitoke..Ila nyie wanaume ni wanywanywa khaa, em tokeni. Huku leo muite tu ma mdogo. Ila hapo kwenye choo cha kukaa tu usije tuwekea familia nzima
Hiyo namba tisa mimi kwangu ngumu aisee japo naanza kufanya zoezi...naweza nisijifunike sehemu zingine nikawa mtupu ila bila chupi aisee ngum sana
Dah! Kumbe wanamama wana kazi hivi? Sema hizi mambo mngekuwa na group lenu mnaelekezana huko, ingekuwa babkubwa zaidi. Kuna vitu unasoma mwanaume humu, unaona aibu design. Vingine vinatujengea picha za ajabu kichwani. Ni mtazamo tu.