Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 568
- Thread starter
- #101
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Ukimuona wa hivyo mpe huu ujumbeView attachment 464977
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Ukimuona wa hivyo mpe huu ujumbeView attachment 464977
Kabisa wajiongezeKweli kabisa,asiwe mbahili bahili atakimbiwa
Mwanaume hasifiwi sura, anasifiwa pocket..[emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385][emoji23][emoji23] kwa maana hiyo mm sio handsome?!
Uzi haujaulizia balance ya bank umeulizia uzuriMwanaume hasifiwi sura, anasifiwa pocket..[emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385]
Uzi haujaulizia balance ya bank umeulizia uzuri
Njoo nikuwoweNdio ivo yani... Najitahidi kidogo kumuelewesha mtoa Uzi hahahaaaa...
Hahaaaa Leo una mzuka wa kuwowa eeh?Njoo nikuwowe
Ahsante kama mnamaanishaga hvyo tuanze kuwanunuaNdio ivo yani... Najitahidi kidogo kumuelewesha mtoa Uzi hahahaaaa...
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahaaaa Leo una mzuka wa kuwowa eeh?
Sana....ww huna mzuka wa kuolewa namm?!Hahaaaa Leo una mzuka wa kuwowa eeh?
hiyo ni kweli kabisa maana hata mimi kuna dem mmoja hivi mwaka juzi nilimtokea baada yakuona dalili kuw huyu mtu naye ananifill maana kila akiniona niko soap soap, bas nikaamua kumtega baada ya kuniuliza nafanya kaz ngan nikamwambia naponda mawe ya kutengenezea barabara, haikuchukua hata siku mbili akaanza kujienguaHaina haja ya kujitambulisha,upo huru kuchungulia my profile. Pesa kwanza,mengine baadae.
Mwanamke akikuona njiani umependeza akakusifia uzuri ni kwamba anaona una hela,ila usiombe akajua kibarua chako kama mfano fundi viatu,mbeba zege,ule uzuri unaosifiwa unapotea fasta
hiyo ni kweli kabisa maana hata mimi kuna dem mmoja hivi mwaka juzi nilimtokea baada yakuona dalili kuwa huyu mtu naye ananifill maana kila akiniona niko soap soap, bas nikaamua kumtega baada ya kuniuliza nafanya kaz ngan nikamwambia naponda mawe ya kutengenezea barabara, haikuchukua hata siku mbili akaanza kujiengua so nikagundua kuwa muonekano wa mtu unaweza kumuonesha kuwa ni mtu wa aina ngan!!Haina haja ya kujitambulisha,upo huru kuchungulia my profile. Pesa kwanza,mengine baadae.
Mwanamke akikuona njiani umependeza akakusifia uzuri ni kwamba anaona una hela,ila usiombe akajua kibarua chako kama mfano fundi viatu,mbeba zege,ule uzuri unaosifiwa unapotea fasta
Kweli haujui HB anakuaje..poaMa HB wanakuaje
Tupiaka picha mkuu tuone mfanoKuna wanaume wazuri bwanaaa, unaweza ukahisi Mungu amempendelea ila sasa wazuri huwa hawana hela
Pia kuna wanawake wazuri aseeh....Kuna wanaume wazuri bwanaaa, unaweza ukahisi Mungu amempendelea ila sasa wazuri huwa hawana hela
[emoji1][emoji1][emoji1]Hakuna mwanamume mbaya?
Who said????
Hata Biblia inakiri Yusuph alikuwa mzuri wa uso.
Let me simply things, ....
Tunaposema mwanaume mzuri tunaangalia uso na mwili wake, yaani physically anaonekanaje.
Kuna ma Handsome boy na kuna wa kawaida tu lakini pia kuna wenye ugly face.
Kwangu mm, mwanaume nikimsema ni mzuri huwa ana yafiatayo:
* Uso mzuri mf: kanumba hivi
* Mrefu kwa kias chake
* Na mwili kidogo hivi, sio modo hadi nikastuka wala sio bonge kihivyo.( I hate bonges na wenye vitambi)
Hayo ni ya nje yanayoonekana, yasiyoonekana kila mtu anapenda yakwake na huwa ni siri ya mtu husika.
hiyo ni kweli kabisa maana hata mimi kuna dem mmoja hivi mwaka juzi nilimtokea baada yakuona dalili kuwa huyu mtu naye ananifill maana kila akiniona niko soap soap, bas nikaamua kumtega baada ya kuniuliza nafanya kaz ngan nikamwambia naponda mawe ya kutengenezea barabara, haikuchukua hata siku mbili akaanza kujiengua so nikagundua kuwa muonekano wa mtu unaweza kumuonesha kuwa ni mtu wa aina ngan!!
Wanamaanisha ana hela(mahela)