ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,490
- 8,305
Uzuri,nijuavyo mimi ni neno pana sana.mfano sura,tambo,tabia nk.kwa kweli hakuna mtu mzuri katika yote na hasa mtu mzima kidoogo watoto huwa ni wazuri wengi wao.lakini jimama,jibaba,mmh ni vile tu unavyoona wewe yaani,Mzuri wako si mzuri wangu navyoamini mimi.