hapo sio mzuri, anakuwa MTAMU!Wanamaanisha ana hela(mahela)
hapo sio mzuri, anakuwa MTAMU!Wanamaanisha ana hela(mahela)
Halaf humuon tena, [emoji3]Unaweza kuwa unapita hiyo njia kila siku ili ukutane nae tena
Una meno mazuri sana ukicheka!Hahaaaa umenichekesha
Ambao co ma hb hawanaga mbwembweNinachowapenda wanawake hamna ubaguzi. Hata sisi wabaya tunapendwa.
Umeyaona wapiUna meno mazuri sana ukicheka!
Hivi uzuri wa mwanaume ni sura au mwili wake?Jmn kuna wanaume n wazur jmn! Hata sijui nisemeje... N wazur mpk unataman umfate tu
One day katika WhatsApp profileUmeyaona wapi
[emoji13] well saidSi vibaya na wao kuchagua na kuona amevutiwa na sura yake some time sio pesa wakuu ni shepu ya mtu
Topic to discuss hiyo hahahahlakini wanawake wanawalalamikia ma-handsome kuwa ni wachovu kitandani je ni kweli.....au ndo tetesi....
Eka mfano wako wewBadilisha kwanza mfano wako,toka lini masogange akawa ndo kipimo cha uzuri wa mwanamke.
Kuna hadi uzuri wa kutembea?Uzuri wa mwanaume.... Pesa...Km hn pesa basi atakua n sex body....Zaidi ya hapo atakuwa mcheshi...Mstaarabu ...Mzungumzaji kiasi.... Ana mwendo.Mzuri.Akitembea...Sasa ni vitu vingi kiasi kila mwanamke ana anachopenda kwa mwanaume....Kama haangali ramani ya mfuko kuna alivyovutiwa navyo.... kama wanaume ukimuona dem kwa mara ya kwanza halafu hana chura ...
[emoji12][emoji12][emoji12]
kama taswira ya picha yangu ilivyobaki kichwani mwako ,ama kwa hakika umekuwa mwanamke bora kwangu sitokuangusha kamwe uwapo na Mimi.Yaani acha kabisa, unajikuta tu taswira yake inabaki kichwani mwako.
Wanawake wanamambo mengu sana ... Kama hulijui hilo lifanyie uchunguziKuna hadi uzuri wa kutembea?
Ndiyo nafanya uchunguzi kuanziahumu.Wanawake wanamambo mengu sana ... Kama hulijui hilo lifanyie uchunguzi
Ndo maana nliuliza nipate majb kama haya! Wana wenge sana hawaWanawake wanamambo mengu sana ... Kama hulijui hilo lifanyie uchunguzi
KEEP IT UP MKUUtunapaka baby care hadi siku za sikukuu na bado tunatokelezea waulize wao uzuri wa asili huko wapi wanawake wanadumu kwa ihsani ya watu wa China.