Wadada mnaposema "yule kaka mzuri" mnamaanisha nini?

Wadada mnaposema "yule kaka mzuri" mnamaanisha nini?

we ganda la ndizi unatelezesha watu tu humu na utelezii , we tembea uonee[emoji23] [emoji23] [emoji38]
Aaaaah mi washkaji ninaoshnda nao tu hawaelewi actually mi kama mwanaume cwez ona ati this niqqa is cute no labda azidi sana awe kama shori. Sasa ndo sijaelewa kwa wahusika wenyewe wanaovutiwa na wanaume I mean girls waeleze tujue
 
Haina haja ya kujitambulisha,upo huru kuchungulia my profile. Pesa kwanza,mengine baadae.

Mwanamke akikuona njiani umependeza akakusifia uzuri ni kwamba anaona una hela,ila usiombe akajua kibarua chako kama mfano fundi viatu,mbeba zege,ule uzuri unaosifiwa unapotea fasta
Ndo maana kidumenajitahidi nigonge fasta ili tukija kujuana kiundani zaidi kazi hije iwe kwa demu kama kunimwaga au la.
 
Ninachowapenda wanawake hamna ubaguzi. Hata sisi wabaya tunapendwa.
Namsikitia mwanamke anaependa kwa kuangalia sura ya mwanaume... Wenye sura ngumu not mbaya bwn huwa mna golden hearts kama sio diamond kabisa...
 
Kwangu mimi mwanamke akiniita mbaya ni sifa ya ki uanaume kabsa.
Mwanaume unakuwaje mzuri!!!
Mi ni mbaya tena mbaya haswaa
 
Ukiona mwanaume anajisifia kuwa yeye mzuri basi ana matatizo, mwanaume mzuri ni yule mwenye roho nzuri, hatukani na kuwanyanyapaa wanawake, anajali,mahitaji ya wanawake, hachepuki ovyo ovyo, anaridhika na aliye naye hata wangine watoe mate hana time nao, anatafuta pesa na zikipatikana anazitumia kwa kuwahudumia wa nyumbani mwake ipasavyo.

Mtu kama huyu hata asiponyoe nywele na ndevu kwa miaka 10 bado ataonekana mzuri.
Ahsante
 
Ukimuona wa hivyo mpe huu ujumbe
10809969_1513002852300855_637731298_n.jpg
 
Back
Top Bottom