Wadada mnaposema "yule kaka mzuri" mnamaanisha nini?

Wadada mnaposema "yule kaka mzuri" mnamaanisha nini?

Sijawahi kujiona handsome maana nikijiangalia kwenye kioo hua naona sielewi kabisa. Yaani nakosa kujiamini mpaka natokea wanawake wabayaaaaa ili waone afadhali wametokewa.
Roho inaniuma.
Aaaah jiamini tu mwana hawa hawasomeki ndo maana nmeamua kuwauliza unaeza ukajiona sio handsome kumbe pembeni kuna watoto wazuri wanakukilihikia kwa kile wakionacho special kwako. Hvyo jombaa
 
Aaaah jiamini tu mwana hawa hawasomeki ndo maana nmeamua kuwauliza unaeza ukajiona sio handsome kumbe pembeni kuna watoto wazuri wanakukilihikia kwa kile wakionacho special kwako. Hvyo jombaa
Mkuu acha tu hata kuweka avatar kama wewe nashindwa, wanaweza wakaacha hata kuniquote na kulike posts zangu.
 
Mkuu acha tu hata kuweka avatar kama wewe nashindwa, wanaweza wakaacha hata kuniquote na kulike posts zangu.
Aaaah Avatar tunaekaga tu hata za wadogo zetu, we tembea kifua mbele ukijiakubali watajukukubali tu
 
Yule rappers Wa wasafi anaitwaje? Na Dr. Remmy nae alikuwa handsome
 
Tokea wanawake humu wamsifie Le mu tuz kuwa ana sauti nzuri ndiyo nilipochoka,hadi Leo sijajua huo uzuri wa ile sauti labda kwa kuwa mie mwanaume.
 
Mpaka nikutane nae sasa, ushawahi kukutana na mtu halafu ukageuka kumwangalia tena??? Sasa usiombe ukutane na mwanaume mzuri, utatamani ubadili safari ili muende uelekeo mmoja umwangalie tuu. Ila sasa huwa hawana hela bwanaaa
Hahah okay kwahyo kuelezea kdogo ndo shda hapo
 
Back
Top Bottom