Wadada mnaposema "yule kaka mzuri" mnamaanisha nini?

Wadada mnaposema "yule kaka mzuri" mnamaanisha nini?

MIMI NAJIONA HANDSOME...na mademu wananisifia...ila nikiwatokea wananipiga kibuti sijui kwanini?
 
uzuri wa mwanaume kwa haraka ni Urefu, tumbo flat na rangi yoyote ile yenye kung'arisha ngozi.Baada ya mwonekano sasa utimamu wa akili pia humfanya mwanaume yeyote yule kuitwa mzuri!!!
 
Sijawahi kujiona handsome maana nikijiangalia kwenye kioo hua naona sielewi kabisa. Yaani nakosa kujiamini mpaka natokea wanawake wabayaaaaa ili waone afadhali wametokewa.
Roho inaniuma.
we jamaa umeniua mbavu
 
uzuri wa mwanaume kwa haraka ni Urefu, tumbo flat na rangi yoyote ile yenye kung'arisha ngozi.Baada ya mwonekano sasa utimamu wa akili pia humfanya mwanaume yeyote yule kuitwa mzuri!!!
Ahsante sana mkuu
 
Ukishakua na hela utakua mzuri, dont stress yourself keep hustling buddy!
 
Back
Top Bottom