Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 568
- Thread starter
- #41
Haha sawaWatakua mapunga tu
Haha sawaWatakua mapunga tu
Unajisikia tu raha kumtazama.Unaweza kuwa unapita hiyo njia kila siku ili ukutane nae tena
Mwanaume hasifiwi sura ujue..Haswa ukute mtu handsome kama mimi
Kuelezea havielezeki hivyo bwanaaa, we jua kuna wanaume wazuriHahah okay kwahyo kuelezea kdogo ndo shda hapo
Swali zurMa HB wanakuaje
Kwenu sio kwetuMwanaume hasifiwi sura ujue..
hahahhhhHaswa ukute mtu handsome kama mimi
Okay huo mwili sasa wakuaje bonge au slimMzuri wa sura na mwili..
[emoji12] [emoji6]hahahhhh
Teh teh teh naona kuna mkwamo hapa. Basi sawa SakayoKuelezea havielezeki hivyo bwanaaa, we jua kuna wanaume wazuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jiamin tuSijawahi kujiona handsome maana nikijiangalia kwenye kioo hua naona sielewi kabisa. Yaani nakosa kujiamini mpaka natokea wanawake wabayaaaaa ili waone afadhali wametokewa.
Roho inaniuma.
Shaurilo km bado unajifariji na uHBKwenu sio kwetu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwenu sio kwetu
Size ya kati..Okay huo mwili sasa wakuaje bonge au slim
Hata nkijifariji si mimiShaurilo km bado unajifariji na uHB
hahahhhh we mtu acha kunichekeshaMkuu acha tu hata kuweka avatar kama wewe nashindwa, wanaweza wakaacha hata kuniquote na kulike posts zangu.