Wadada mnaposema "yule kaka mzuri" mnamaanisha nini?

Wadada mnaposema "yule kaka mzuri" mnamaanisha nini?

Hakuna mwanamume mbaya?

Who said????

Hata Biblia inakiri Yusuph alikuwa mzuri wa uso.

Let me simply things, ....
Tunaposema mwanaume mzuri tunaangalia uso na mwili wake, yaani physically anaonekanaje.

Kuna ma Handsome boy na kuna wa kawaida tu lakini pia kuna wenye ugly face.

Kwangu mm, mwanaume nikimsema ni mzuri huwa ana yafiatayo:

* Uso mzuri mf: kanumba hivi
* Mrefu kwa kias chake
* Na mwili kidogo hivi, sio modo hadi nikastuka wala sio bonge kihivyo.( I hate bonges na wenye vitambi)

Hayo ni ya nje yanayoonekana, yasiyoonekana kila mtu anapenda yakwake na huwa ni siri ya mtu husika.
Mambo?!
 
Okay ahsante angalau kamwanga flani,
 
we ganda la ndizi unatelezesha watu tu humu na utelezii , we tembea uonee[emoji23] [emoji23] [emoji38]
 
Ukiona mwanaume anajisifia kuwa yeye mzuri basi ana matatizo, mwanaume mzuri ni yule mwenye roho nzuri, hatukani na kuwanyanyapaa wanawake, anajali,mahitaji ya wanawake, hachepuki ovyo ovyo, anaridhika na aliye naye hata wangine watoe mate hana time nao, anatafuta pesa na zikipatikana anazitumia kwa kuwahudumia wa nyumbani mwake ipasavyo.

Mtu kama huyu hata asiponyoe nywele na ndevu kwa miaka 10 bado ataonekana mzuri.
 
Back
Top Bottom