Wadada, Mkisalimiwa Jibuni Salaam, Sio Kila Salaam Ina Ubaya Ndani Yake.

Sina uhakika katika hilo mkuu ingawa nami ni wa jinsi hiyo.

Ooooh owkay ndio maana basi inakuwa ngumu kuliona hilo suala ni sawa na muonekano au tabia ukiwa nayo mwenyewe ni ngumu kujiona ila wa upande wa pili ndio anaweza kukuona my dear.

Na pia sio wote wapo hivyo ila asilimia kubwa wapo hivyo kiongozi...!
 
Sure brother ni bora mara kumi tena, actually huwa nikimsalimia mtu mara moja hata kama tunaishia mtaa mmoja, asipoitikia tu basi hatakaa asikie sauti yangu hata siku 1.

Kuna wengine unakuta wanaonesha dharau at the same time unamkuta njiani au kituoni kasimama then hata lift huwezi kumpa, kiukweli huwa wanajikosesha vingi sana bila ya wenyewe kujijua mkuu.
Tutaendelea ishi nao hivyo hivyo mpaka waelewe somo !!
 
Back
Top Bottom