fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 12,955
- 22,654
Kweli kabsa angemruhusu iLi ajifunze vzr lazma angeshikwa na aibuUlikosea kwa kutokumpa funzo! Ilitakiwa umwambie mlinzi amuachie apite hapo angejisikia vibaya zaidi na angejiona mwenye hatia ikawa funzo kwake siku nyengine.
Unakuwaje na rafiki asiyejielewa kwa kiwango hicho Le dadazNilichoandika sio mawazo,ni kitu kipo...mimi ni wa kike,nina marafiki wa kike wenye hizo tabia na wananipa hiyo sababu
Ninae rafiki hakubali salamu ya mwanaume asiye na gari
Kwake yeye mwanaume mwenye gari ndio mwenye haki ya kuongea nae
Uko kitengo gani hapo Mount Meru hospital hata ukimwambia mlinzi aruhusu mtu kuingia asiulize mara mbili?
BTW mara nyingi ukiona unasalimia mdada na hakuitikii ujue una muonekano wa hovyo
Mkuu huenda hakusikia, sio wote wana tabia hizo.
Au labda alikua na mawazo ya mgonjwa wake na huo mda alofika akijua huenda kachelewa na mgonjwa wake hatopata mlo wa mchana wa siku hiyo.
Kwa mimi naona ulimhukumu bure dada wa watu, na je ulimsalimia zaidi ya mara moja?? Kama sivyo basi we jamaa una kujiskia kwa kijinga na unapaswa kupuuzwa kwa hizi lawama unazomtupia bidada!!
Unakuwaje na rafiki asiyejielewa kwa kiwango hicho Le dadaz
Na mwenye muonekano mzuri akazuiliwa getini.
Mm kuna siku niliamua kwenda kwa kaka yangu aliachana na mkewe sasa kumbe pale kwake alikua kaleta kidem . Mm nimefika nikapiga hodi akanifungulia nikamsalimia akajibu kwa nyodo yaan kijeuri maana sio siri bro yuko vizuri kiuchumi basi dem alikua anaona kila anae kuja pale ni pimbi fulani sikukaribishwa hata ndani akaniuliza una shida na nani nikauliza fulani yupo akasema kalala hataki kusumbuliwa huku akifunga mlango kuna jamaa alikua nje alie nifungulia geti ni family friend alicheka sana mm nikapiga simu kwa broo ..broo akaja kufungua mlango yule dem mm sikusema chochote yule dem alivo itwa kutambulishwa kua huyu ni mdogo wangu wa damu alijisikia vibaya sana ila alijua kabisa kaharibu ile mbaya ..Sijui kwa nn wanawake hua na vizarau bila kumjua mtu.
Umaskini Ni Kitu kibaya.Nilichoandika sio mawazo,ni kitu kipo...mimi ni wa kike,nina marafiki wa kike wenye hizo tabia na wananipa hiyo sababu
Ninae rafiki hakubali salamu ya mwanaume asiye na gari
Kwake yeye mwanaume mwenye gari ndio mwenye haki ya kuongea nae
Umaskini Ni Kitu kibaya.
Mkuu
Na hapo kwenye malezi ndo mzizi mkubwa ulipoThanks Nuzulati mi nafkiri hii pia inachangiwa na malezi huko walipolelewa walipewa malezi ya hovyo utakuta.
Coz ukishapewa malezi yalo mazuri toka udogoni unakua ukiwa na tabia njema kwa yeyote utakayekutana nae, ila kama malezi ni ya hovyo basi hata tabia nayo inakuwa ni ya hovyo kabisa.
Na hapo kwenye malezi ndo mzizi mkubwa ulipo
Wenye dharau wapo na pia kuna muda kichwa kinakuwa kipo hovyo yaani anaongeleshwa kumbe yupo mbali kifikra hali inayopelekea hata asisikie akiongeleshwa/Kusalimiwa.
Huyo dada inawezekana alikuwa mbali kifikra, labda mawazo yake yote yalikuwa kwa mgonjwa aliyekuwa akienda kumuona ama kwingineko.
Muda mwingine tusihukumu sana.
Sawa kiongozi ila asilimia kubwa ya hawa viumbe ni wapo hivyo mkuu...!