Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
- Thread starter
- #81
Dah shida yote hiyo ya nini jamani??tafuta jamaa tu akushikeshike hizo nido zako fasta sana tu zinakuwa.
Bad practise
Dah shida yote hiyo ya nini jamani??tafuta jamaa tu akushikeshike hizo nido zako fasta sana tu zinakuwa.
Wewe hawakukufaudu?
Najibu kwa niaba ya... wanapatikana kwenye vumbi la mchanga. Arusha wapo wengi sana.
hahaha wanaitwaje i neeed big bo....
Mimi niliweka wa kwenye miembe, yalikua haraka tena yalikuwa kama dodo. jaribu na wewe
Tena wakati ule kabla ya kuwakamata kwenye vitobo yao kuna kawimbo tulikuwa tunakaimba. Eti fukufuku baba .... Dah nimekasahau
Kile moyo unapenda
Yani unang'ara hatari
Nitumie wawili posta
Asante SANa ndugu nimecheka sanaaNa ukimpata wadada wanaanza varangati niwekee mimi zamu yangu sasa lol! halafu unaweza kuwa kuna mmoja katika hao wadada ndio mko naye karibu au kwa Kiswahili fasaha unampenda kuliko wengine basi unatunga huyu nilivyomuwekea hakukang'atwa vizuri inabidi nimuwekee tena lol! sawa ukipata mwingine itakuwa zamu yangu
sas chuchu zilikua baada ya kung'atwa?
Tena wakati ule kabla ya kuwakamata kwenye vitobo yao kuna kawimbo tulikuwa tunakaimba. Eti fukufuku baba .... Dah nimekasahau
Fuku fuku njoooo baba yako kaja kakuletea maziwa na asali
com 'on......!
okey japo hunipi maelezo nitatafuta
Kwa sasa nipo Dar, mahali nilipo vumbi hakuna, kuna udongo tu, tena upo kwenye bustani ambayo inamwagiliwa kila siku. Nikienda Arusha nitakutumia.