Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
- Thread starter
- #61
Fukufuku tokaaaa, mama yako kaja na maziwa matamuu! Utoto bwana!
Bila shaka hu ni wimbo walipousikia walikuwa wakitoka mapangoni mwao
Fukufuku tokaaaa, mama yako kaja na maziwa matamuu! Utoto bwana!
I can do the same! Even better.
huh,Umeniona wapi broSasa hivi manyonyo yako yameshakuwa makubwa,attractive and sexy huna tena haja ya kutumia wadudu,ni mda wa kujidai na kuwatesa wakaka sasa!!
fuku-fuku
Try it out
wanapatikana wapi kama ukiwa dar?????
wanapatikana wapi kama ukiwa dar?????
huh,Umeniona wapi bro
WE should try it.
Na wewe unataka kuongeza ukubwa wa manyonyo?
Uliwekaga nawewe lo
Dar kuna maeneo yenye vumbi?huko wako wengi
Ila wasiku hizi wanang'ata kidigitali
Kuna wadudu fulani miaka ya nyuma tulikuwa tunawafukuwa ardhini halafu unamweka kwenye chuchu eti manyonyo yakuwe...! ..mnawakumbuka??
Walikuwa wanaitwa 'FUKUFUKU'
hivi wanapatikana wapi? white rose
Mimi niliwekaga, si ni wale wadudu wanaoanguka kwenye miembe a.k.a chavichavi.
Kile moyo unapendayanavimba kwa kiasi gani????
Yani unang'ara hatarihold on
ma huchu yanavimba vizuri
Wenyewe wanakaa tkwenye vumbi