Wadada: Mdudu anayekuza manyonyo

Wadada: Mdudu anayekuza manyonyo

Ukiula humu hawez pata jibu labda Fanya hivi kama kuna mtoto hapo tafuteni makopo fungeni Uzi kopo moja kwako Na lingine kwa mwenzio Na muyaweke sikioni halafu kuuliza hayo maswali ninahakika hautokosa jibu sahihi

Funny enough nimekosa
 
ndio umenikumbusha zamani kweli, huyo mdudu fuku x2 anapatikana sana maeneo ya mikoa ya pwani, yaani hasa kuanzia kibaha mpaka chalinze huko, maana wanapenda kuishi pembezoni mwa nyumba za udongo wakitafuta joto, chakula, na wanaacha vishimo vidogo sababu wanaishi sana individually na sio kama siafu au mchwa, ukipata fursa tembelea haya maeneo na wenyeji watakuonyesha, hasa watt wa Kizaramo wakiwekwa ndani (mwari) ataagiza tu vitoto vikamchimbie ili siku ya mkole aonekane na yeye kawa mwanamke , jama msiniulize nimeyajuaje haya yote na mm ni mtt wa kiume :A S wink:
 
Back
Top Bottom