masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,802
- 16,837
Kigoma wapo wakumwaga.kavp agiza
hahahhah haupo siriaz
Kigoma wapo wakumwaga.kavp agiza
Yeah tena sie kuna na vidudu vingine vilikuwaga vinapatikana kisimani kwenye maji vyeusi navyo tulikuwa tunaviweka ving'ate manyonyo yakue, mweeee hata hayakui.
Hahahaaaa,duh hao si walikuwa wagumu sana kukamata?
hahahhah haupo siriaz
Yeah tulikuwa tunawachota kwenye maji then unamkamata japo vilikuwa vinateleza.
Da.h kungekuwa na simu kama siku hizi ungejipigaga picha alafu ukaweka hapa
Asante SANa ndugu nimecheka sanaa
Wanapatikana kwenye kingo za kuta..utaona vishimo vyao vilivyochimbwa kiustadi.
Da.h kungekuwa na simu kama siku hizi ungejipigaga picha alafu ukaweka hapa
Kuna wadudu fulani miaka ya nyuma tulikuwa tunawafukuwa ardhini halafu unamweka kwenye chuchu eti manyonyo yakuwe...! ..mnawakumbuka??
Walikuwa wanaitwa 'FUKUFUKU'
hivi wanapatikana wapi? white rose
Unataka kujaribu,

Wadada mnapenda kutekenywa huna lolote
Yaani ingekuwa poa sana, ila daaah umenifanya nikumbuke mbali sana aisee.
Hongera sana kwa kuongeza life span, halafu upige taswira kichwani ya kuwa hapo tulikuwa watoto hivyooo LOL!