Wadada: Mdudu anayekuza manyonyo

Wadada: Mdudu anayekuza manyonyo

Hahaha sikuwahi kutumia, ila cousin angu mmoja ilikuwa ndo shughuli yake hiyo

ukiona kama ilikuwa ndo kazi yake ujue vilikuwa vinabubunya maziwa yake anasikia raha kwanza istoshe ulikuwa wewe HeavenSent
 
Last edited by a moderator:
ukiona kama ilikuwa ndo kazi yake ujue vilikuwa vinabubunya maziwa yake anasikia raha kwanza istoshe ulikuwa wewe HeavenSent
Aah hamna bana, me sikuwahi kuweka Fukufuku, muda Huo Mtu alikuwa anawaza tu kuota matiti so hata Kama Fukufuku wanang'ata unavumilia tu mweee
 
Hahaaaaaa umenikumbusha mbali zamani nilikua nikiona wengine wana vi..... Nilikua natamani niwe nayo. Sasa my sister na wenzangu tukadaganywa ukimuweka ang'ate niples yanakua makubwa hafu unanenea. Weka Mpaka basi halikui hata kidogo sijui kwanini walikua wanatudaganya.

Hahaha
 
Back
Top Bottom