Mbena halisi
Member
- Jul 3, 2015
- 13
- 5
Usijarbu kujboost kwa kutumia awo wadudu now dayz wana sum
swaumu leo kali sana
Angalia manyonyo yaliyokuzwa na mdudu fukufuku ukali wa swaumu utapungua.
hahahahah mkuu
Angalia manyonyo yaliyokuzwa na mdudu fukufuku ukali wa swaumu utapungua.
Hahaaaaaa umenikumbusha mbali zamani nilikua nikiona wengine wana vi..... Nilikua natamani niwe nayo. Sasa my sister na wenzangu tukadaganywa ukimuweka ang'ate niples yanakua makubwa hafu unanenea. Weka Mpaka basi halikui hata kidogo sijui kwanini walikua wanatudaganya.
Na wewe uliweka wakung'ate? Ulisikia raha au ulilia baada ya kukang'atwa na mdudu fukufuku? Fukufuku wanafaidi duh!
Walinishawish tu eti wakikung'ata .... Zinakua kubwa. Ni wadudu wadogo hawang'ati sana ka kufinya flani hivi.
Sikulia nilikasirika mana .... Haikukua.
Hukukamilisha dozi vinginevyo lazima manyonyo yangeumuka tu na kufikia size uipendayo. Hivi ni mayonyo tu ndiyo yanayoumuka baada ya kukang'atwa na fukufuku? Hukuwahi kusikia kwamba hata ukiwaweka kwenye makalio wowowo nayo yataumuka na kuwa na mvuto wa kipekee?
Hyo illikua daganya Toto tu hata ung'atwe vipi hayakui ng'o mana nikiwa mtoto mi na wenzangu kabla ya kuwa nayo tulikua tu napenda na kujaribishia v.... Fake sasa ili kutupa matumaini wakawa wanatudaganya na hao wadodo.