witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
samahani lakini, sasa ule uchafu ulokua ndani unatoka? nadhani tunatofautiana labda mafunzo manake nnakotoka mie kutia kidole ni must kusafisa huko kwa shosti,na sipati picha mzee kapita jana kaweka mzigo unakaa siku 3 anarejea tena ivi kutaingilika kweli? kwa style hiyo lazima akimbie akamtafute mwansiti Gongo la mboto sababu yake haina maji na safi...
haya shosti sorry kama nimekukera, mie wa Pwani usafi wa hiyo kitu ipo kwenye list ya vitu muhimu.........
Dear uko very perfect...kujisafisha kwa vidole muhimu ili utoe uchafu na mabaki mabaki...sawa sawa na mtu anaweka colgate mdomoni, atie maji afu ateme bila kupiga mswaki! Hapo meno yametakata kweli?