walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,832
- 5,632
kama ananuka sababu ya ugonjwa aende hospital lakini kama ni uchafu tu awe anajisafisha na maji mengi masafi anajikausha kwa kitaulo kisafi, then anapakaa mafuta ya nazi yanasaidia kukata harufu pia kuondoa weusi hata kwenye mapaja.
Nashukuru sana mkuu rubii kwa ushauri wako wenye mashiko yani nimepata kitu kipya sana nitawaelimisha na wengine