Wadada kuweni wasafi jamani!

Wadada kuweni wasafi jamani!

Umeonyesha ukomavu na uvumilivu wa hali ya juu. When a bully is looking for a fight sometimes ni vizuri ku-ignore tu unless kama ni full fledged attack. Nimejifunza kitu!

Yaani humu ndani kuna watu wa kila aina so inabidi tuvumiliane tu.
 
Ivi uchi umwagie maji tu utakate??! Kweli mmh ...maana mwanamke maumbile yake ki kawaida hutoka vitu huko chini hilo halina ubishi nauwo sio ugonjwa sasa ukimwagia maji Yuu hayo ma shavu si yataganda jamani
 
Sasa una kuta mtu inakubidi ucheze chini ya kiwango kutokana na mdada kuwa mchafu kunako K,.

Una mkuta dada ni sister do lakini kitumbua chake ni balaa! Hivi mnashindwa nn mkienda kuoga kuwa mnaingiza vidole kwenye naniliu zenu ili kutoa uchafu?

Badirikeni bhana!!

Tumeshauriwa tusiingize mavidole huko kunako.
K inajisafisha yenyewe (wataalamu wamesema sio mimi)
 
Hii niliwahi kuisikia sehemu.
Wanasema eti mwanaume akikuingilia bila kuvaa kondomu na akakumwagia ndani shahawa eti ukilala nazo zinaozesha K.
Wataalamu jamani
Siyo Mmoja Tu. ila wakiwa zaidi ya mmoja
 
mmmmmmmmmmmmm hii taaluma yako kali,sasa unasafishaje mwenzangu ebunipe maujanja?

I mean ukijiingizia vidole kwa ndani kuna bacteria wapo kwa ajili ya ulinzi unawaua hivyo basi ni rahisi kupata maambukiz unachotakiwa kufanya ni kujisafisha kwa juu na maji safi na Salama na kubadili nguo za ndani kwa wakati na zisiwe mbichi
 
rafiki wewe huwa unaioshaje kama hamruhusiwi kujipiga kidole?

I mean ukijiingizia vidole kwa ndani kuna bacteria wapo kwa ajili ya ulinzi unawaua hivyo basi ni rahisi kupata maambukiz unachotakiwa kufanya ni kujisafisha kwa juu na maji safi na Salama na kubadili nguo za ndani kwa wakati na zisiwe mbichi
 
Ukikuta mchafu unamsafisha kuja kutuandikia hapa hujamsaidia huyo mchafu mwenzio.

Nijuavyo Mimi huwezi kukuta sahani chafu afu ukaichukua na kupakulia chakula lbda uwe mchafu.
 
I mean ukijiingizia vidole kwa ndani kuna bacteria wapo kwa ajili ya ulinzi unawaua hivyo basi ni rahisi kupata maambukiz unachotakiwa kufanya ni kujisafisha kwa juu na maji safi na Salama na kubadili nguo za ndani kwa wakati na zisiwe mbichi

samahani lakini, sasa ule uchafu ulokua ndani unatoka? nadhani tunatofautiana labda mafunzo manake nnakotoka mie kutia kidole ni must kusafisa huko kwa shosti,na sipati picha mzee kapita jana kaweka mzigo unakaa siku 3 anarejea tena ivi kutaingilika kweli? kwa style hiyo lazima akimbie akamtafute mwansiti Gongo la mboto sababu yake haina maji na safi...
haya shosti sorry kama nimekukera, mie wa Pwani usafi wa hiyo kitu ipo kwenye list ya vitu muhimu.........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom