Wadada kuchomekea gauni kwenye chupi !

yanaitwa Ma-dila kama c dira...huwa wanachomoka kama ana mguu wa bia.
 
Lol! Afu unakuta ni boonge la teitei! Mi nikiona huwa nalipatia picha likiwa limeanikwa kwenye kamba, nahisi mtoto mdogo akiona atalia!
Vifasheni vya kiswazi visivyo na msingi!
 
mwenye picha aweke tafadhali,wengine bado hatujaelewa somo
 
Waacheni bana, hao wengi wao ni wale walosoma Communication skills na kudondoa sehemu za kuwafaa. Si unajua kuna mawasiliano kwa nonverbal communication. Mnaolalamika ndo mmeshindwa kuielewa hiyo lugha. Tuacheni wenzenu tuongee kivyetu.
 
Uswahili uliopitiliza ndio tatizo,wakute wako kwenye shuhuli ya besen au arobain ya mtoto ni balaa uchomeakaji wake ni zaidi ya ule wa kawaida!
 
watoto dizaini hiyo huwa watamu km kambale,kwenye samwel sita wanabinjuka sarakasi mchina haoni ndani
Babu Kambale ni mtamu kweli ? sisi tulikuwa tunapewa kila miezi sita kama kinga ya Malaria na kweli hamna aliepata Malaria nyumbani kwetu,kwenye Samwel Sita nimecheka sana watu wabunifu balaa lol!
 
Ila huwa wanashawishi kweli wanavyovaaga hivyo, mkuu hapo lazima utupe jicho, utake usitake!
 
Hilo linaitwa dira na hutakiwa kuvaliwa nyumbani, ndani tu na si la kutokea nje, lakini kwa ushamba wa hawa kinadada wengine wanavaa mpaka nje. Wakikuwa watajuwa waache watuburudishe.

Ukiona ajabu ya kuchomekea, vipi ya KK?

vs

Ipi bora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…