Wadada igeni mfano huu wa mwenzenu

Wadada igeni mfano huu wa mwenzenu

sirjohn

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
767
Reaction score
679
Mdada mrembo na graduate wa ualimu kachukuliwa kiraini na Albno. Hili ni somo kubwa kwa wadada zetu ambao si tu wanachagua bali huenda mbele na kuangalia elimu, pesa, mali nk toka kwa wanaume wanaowahitaji!!! hakika mungu atampa dada huyu faraja kubwa katika maisha yake, KWA MAISHA YA KIBONGO SIYO RAHISI KIASI HICHI.
 
Attachments

  • MAMBO 2.jpg
    MAMBO 2.jpg
    91.3 KB · Views: 969
Unajuaje labda jamaa yuko vizuri? Manake umemuangalia yeye na physical challenge yake tu...

Siasani huku lakini ujue.....
 
Mdada mrembo na graduate wa ualimu kachukuliwa kiraini na Albno. Hili ni somo kubwa kwa wadada zetu ambao si tu wanachagua bali huenda mbele na kuangalia elimu, pesa, mali nk toka kwa wanaume wanaowahitaji!!! hakika mungu atampa dada huyu faraja kubwa katika maisha yake, KWA MAISHA YA KIBONGO SIYO RAHISI KIASI HICHI.

Hakuna Jambo Huwa Silipendi Kama Kumuhurumia Mtu Kwa Sababu Ya Ulemavu Wake. Nayeye Ni Mwanaume Kama Tulivyo Wanaume Wengine.
 
una uhakika gani hiyo pysical appearance tuu

1...huenda jamaa ana kisu /mawe ya hatar ndo mana demu kampend
 
love is blind....and doesnt ask why...
 
siku hizi vidada vinatafuta urahisi wa maisha huku mioyo yao ikiwa imejaa unafiki na kuwasuta kuwa hampendi mtu fulani ila kuna kitu anahitaji ni wachache wanaopenda msoto.
 
Back
Top Bottom