mwaride
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 421
- 106
Last edited by a moderator:
Mdada mrembo na graduate wa ualimu kachukuliwa kiraini na Albno. Hili ni somo kubwa kwa wadada zetu ambao si tu wanachagua bali huenda mbele na kuangalia elimu, pesa, mali nk toka kwa wanaume wanaowahitaji!!! hakika mungu atampa dada huyu faraja kubwa katika maisha yake, KWA MAISHA YA KIBONGO SIYO RAHISI KIASI HICHI.
love is blind....and doesnt ask why...
watu hawajielewi tu, huu nao ni unyanyapaa. o-level nimesoma na walemavu wa ngozi na wasioona wengi tu, katika wengi ninaofahamiana nao karibia wote wameoa/kuolewa na watu wasio na tatizo, hakuna cha ajabu, they are normal, except matatizo ya color pigmentation tu!