ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
Kumbe solution ni kukachomoa hako kakioo?
hiyo nayo ni njia pia..
Kumbe solution ni kukachomoa hako kakioo?
hata ID yako inajionyesha kabisaBinafsi sipendi vitu Kama ivyo ndio maana wife ananiona nina ghubu...!!
mweeeeee ndio uje uniseme huku?kama nilikukwaza si ungenambia pale ,hata kama nilikuwa najua safari ni leo ningejipodoa usiku ili asubuhi niwahi .subiri turudi ntakuonyesha dawa yako
Ukiwa hauna ac ni lazma ushushe vioo. Kwanza usikute huko ndani kuna majotroo mwenzio akijipaka makeup inamomonyoka. Si unajua kujisiliba kuna ufundi wake lol?
Im serious, make sure kipupwe kipo mwake na una tinted ya maana. Afu na wewe unawekelea sun goggles zako watu wakiwaona wanajua wazaire.
Ha ha ha, sana tu brekfast
Afu kunakuwa na extra pair ya kiatu, just in case.
Mie kuna saa huwa kuna vitu hadi nashaangaa, inabidi wkend upunguze.
Au kama una mtoko baada ya saa za kazi na unahitaji kuchange, inageuka dressing table na nguo humo.
Ila final touches muhimu, labda niwe kwenye daladala.
lol...so mpango kujifanya mobali ya bandeko?
Hauishi vituko?
HIVI KALE KABIBI KAKO WAPI?
Wewe mdada unakuta umeshajua kesho au jioni kuna safari ya pahala fulani tena anafahamu masiku au weeks kabla lakini inafika time ya kuondoka anakuja kumalizia kupaka make ups kwenye gari. Halafu mbaya zaidi sometimes sio usiku ni mchana kweupee upo kwenye traffic wewe mwanaume una drive gari hamna tinted unabaki unajikunjakunja uwe mdogo ili usionekane sababu kwenye gari nyingine wote wanakukodolea macho wewe . Tuacheni hii sio poa yan mkuu bora umeliongea mana ni la haibu dresing table muhimu
labda na wewe huwa unamkikimisha mwenzio kabla hata hajamaliza kujikoki so inabidi akamalizie kwenye gari....mwanamke lazima uonekane smart bhana sio unatembea na mkeo watu wanawashangaa coz makeup hazijakaa vizuri usoni.Wewe mdada unakuta umeshajua kesho au jioni kuna safari ya pahala fulani tena anafahamu masiku au weeks kabla lakini inafika time ya kuondoka anakuja kumalizia kupaka make ups kwenye gari. Halafu mbaya zaidi sometimes sio usiku ni mchana kweupee upo kwenye traffic wewe mwanaume una drive gari hamna tinted unabaki unajikunjakunja uwe mdogo ili usionekane sababu kwenye gari nyingine wote wanakukodolea macho wewe . Tuacheni hii sio poa.
Unajitia stress tu na mwenzio anakula maisha. Kata mayi kufashi ya kinshasa banaa. Dozee dozee, ni juu ya nini?
Hapo unaanzisha bendi kabisa we hujui tu
Mutuwacheee..
Hata shoe shiner anamaliziaga kung'arisha!
Af me umenigusa hata nkiwa mwenyewe lazima niongeze lipshiner... Nisawazishe powder kwenye mashavu...
Au hata usipofanya chochote lazima ushushe kakioo kale usawazishe mdomo.. U-smile kidogo...
Ndo mtuzoee.
Mbona nyie mnakunaga kichwa cha nanhii popote?
Mjikaze ivoivo..hatuachi ng'ooo mnune mpasuke!!
Byee...
🙂🙂🙂
Lol
hii imekaa kwa wenye magari zaidi..mi nikajua wanafanya hivyo kwenye daladala..bhana...!!!!Wewe mdada unakuta umeshajua kesho au jioni kuna safari ya pahala fulani tena anafahamu masiku au weeks kabla lakini inafika time ya kuondoka anakuja kumalizia kupaka make ups kwenye gari. Halafu mbaya zaidi sometimes sio usiku ni mchana kweupee upo kwenye traffic wewe mwanaume una drive gari hamna tinted unabaki unajikunjakunja uwe mdogo ili usionekane sababu kwenye gari nyingine wote wanakukodolea macho wewe . Tuacheni hii sio poa.
mbona mengi hufanyika kwenye gari binafsi na si kwenye daladala!au wa kwenye magari binafsi ndo hawajui time management!He he he, pole Mau.
Hii sio tabia wala kujifanya ndivyo ilivyo.
Final touches, itabidi tu uzoee