G
guest-1790917349
Guest
Sio mbaya sana, ili mradi km anang'arisha kidogo yaani final touches!
Utazoea taratibu tu!
Ha haa haaa
Sio mbaya sana, ili mradi km anang'arisha kidogo yaani final touches!
Utazoea taratibu tu!
Mbona hautaji baada ya hApo unajipiga picha? Lol
Wewe mdada unakuta umeshajua kesho au jioni kuna safari ya pahala fulani tena anafahamu masiku au weeks kabla lakini inafika time ya kuondoka anakuja kumalizia kupaka make ups kwenye gari. Halafu mbaya zaidi sometimes sio usiku ni mchana kweupee upo kwenye traffic wewe mwanaume una drive gari hamna tinted unabaki unajikunjakunja uwe mdogo ili usionekane sababu kwenye gari nyingine wote wanakukodolea macho wewe . Tuacheni hii sio poa.
Lol...sasa kama zinahusika mbona wakati fulani mapambo yote yanawekwa pembeni watu wanafanya yao?
mama ntaachaje akati whatsap...instagram 24hrs..
Apo unamwambia bebi naonekanaje..hata hakuangalii usoni anakujibu umependeza..lol...
Ukifka mnakoenda after a drink ..unawahi washroom kurekebisha lipshine..teh teh ...
shida ni nini?