Mueleze kabisa kuwa hupendi apake make-up kwenye gari, ajiandae mapema, akirudia park gari pembeni umwambia unamsubiri amalize haijalishi kama mtachelewa. Unajua wanawake wakikuona uko serious wanaogopa kukuudhi. Hint women do love attention, kama kujikarabati barabarani kunafanya watu wakodoe mimacho that makes her day?
Hahaha kweli maishani kila mtu ana challenges zake. Si uweke ac na tinted kama za majambazi? Ngoja nikolezee kwanza pulistiki mie.
Mi nishaikemea sana inanifanya nionekane mbaya nipo hapa nawasemea na wenzangu na mie ambao wanaumia kimya kimya kusema hawawezi na partner wake hajui kama jamaa hapendi. Wengine wengi wanachukua jukumu la kuweka tinted bila kulizungumza :heh:
I am a woman and what we do 'ukiona dume lege lege unalipelekesha', be firm and express your feelings to her, do you know that, those minor things do make big difference on your feelings towards someone.
Piga mahesabu asinge kuwa na wewe na anahitaji kwenda sehemu, lazima ange estmate muda wa kujitengeneza, kufungua safari na kuwahi shughulini.
Punguzeni hii inaonesha ni kama weakness kwenye time management lol
I am a woman and what we do 'ukiona dume lege lege unalipelekesha', be firm and express your feelings to her, do you know that, those minor things do make big difference on your feelings towards someone.
lol...kwani ac ukiweka hawaoni?
Piga mahesabu asinge kuwa na wewe na anahitaji kwenda sehemu, lazima ange estmate muda wa kujitengeneza, kufungua safari na kuwahi shughulini.
mweeeeee ndio uje uniseme huku?kama nilikukwaza si ungenambia pale ,hata kama nilikuwa najua safari ni leo ningejipodoa usiku ili asubuhi niwahi .subiri turudi ntakuonyesha dawa yakoWewe mdada unakuta umeshajua kesho au jioni kuna safari ya pahala fulani tena anafahamu masiku au weeks kabla lakini inafika time ya kuondoka anakuja kumalizia kupaka make ups kwenye gari. Halafu mbaya zaidi sometimes sio usiku ni mchana kweupee upo kwenye traffic wewe mwanaume una drive gari hamna tinted unabaki unajikunjakunja uwe mdogo ili usionekane sababu kwenye gari nyingine wote wanakukodolea macho wewe . Tuacheni hii sio poa.
Haisaidii. Hujawahi kuwa alone afu unakuta hakuna foleni unakasirika? Mi huwa napata breakfast on my way na sijui nitishiweje ili niache. Uzuri kama niko na Paw namnywesha na yeye so ngoma droo, hawezi kuchonga.

mweeeeee ndio uje uniseme huku?kama nilikukwaza si ungenambia pale ,hata kama nilikuwa najua safari ni leo ningejipodoa usiku ili asubuhi niwahi .subiri turudi ntakuonyesha dawa yako