Wadada above 30

Wadada above 30

Si kweli wakati wote. Unachofikiri ni rahisi kwako, si rahisi kwa wote na mara zote. Hao above 30 kila mmoja ana historia yake na mipaka yake. Uliyepata Usimkashifu ambaye hajapata, maana hata ulichonacho hakina tofauti na kukumbatia maji.

Himidini.... Kukumbatia maji ikoje hii?
 
Comparison is the thief of Joy....maisha ya kujilinganisha na fulani ndo maana wanakuwa na visirani....na wanatoa nafasi ya watu kuwaumiza kwa masengenyo....wanasema kill them with happiness. lakini wakiendelea kuwa watu wa kulalamika,wanyonge na kuona kama kutokuolewa ni aina fulani ya ulemavu au laana na kuwa desperate wataishi kwa taabu sana.

Ukweli utabaki kuwa kuna vitu haviko ndani ya uwezo wako,huwezi lazimisha mtu akuoe au aone unafaa kuwa mke,ukifanya hivyo una utumwa wa maisha,kufurahisha dunia kumbe ndani unaungua..kaa karibu na Mungu wako na mwambie mapenzi yako yatimizwe,unipe furaha kwa lile ninalodhani nalihitaji ila hujanijibu kwa kuwa sababu waijua wewe.

Usijiulize nilipanga? kwa ufupi ni machache sana unayopanga,hukupanga kuzaliwa,kuwa mwanamke,kuwa na elimu uliyonayo,kuwa na mafanikio uliyonayo au hata mapungufu....acha kupoteza muda na maswali usiyoweza pata majibu mazuri, labda ujiulize mienendo yangu na tabia zangu zinawavuta watu sahihi kwangu?

Ukimaliza muombe Mungu na urekebishe pale inapobidi the rest muachie Muumba wako aliyekujua hata kabla ya kutungwa tumboni kwa mama yako.

Last but not least....bado unaishi...subira na moyo wa shukrani kwa mazuri uliyonayo itakupa amani. Usiishi kuhesabu uliyokosa tu,tizama Mungu aliyokupa.

you are not only intelligent but also veeeery wise.
 
Kumcha Mungu ni cha maarifa, pesa ni muhimu sana kwenye maisha ila wadada wengi wakiidharau pesa basi hakuna wa kulalamika kutokuolewa.

Wanaume wote makini hawapo tayari kuoa kabla ya kujiweka sawa na hii mpaka Mwanaume awe amejiweka sawa lazima atakuwa anagonga 40.

Pesa ndio mbaya wa wanawake wa leo hakuna cha kumsingizia Mungu eti hajapanga hizi ni excuse za kijinga kabisa.
 
Mkuu inabidi tuanzishe maandamano kama ya UKAWA chini ya katibu wetu babu Asprin ....lol!

Sijui kama yatapewa kibali na geshi letu ila ni kitu ambacho kingeleta ukombozi wa pili kwa kizazi hiki kinachoangamia kwa kasi ya ajabu!!
 

Kikosi matata sana hiki.hommie Asprin. IN GOOD FAITH unaweza kuwabold hapo tuliocheza nao toka utotoni?
 
Last edited by a moderator:
umeni miss tu sio kwamba hunipendi....hata mi kuna wakati naona hivyo ila nakuja kugundua hakuna mwingine....nimerudi mdogo mdogo na nafurahi mnooo nawe leo umepita hapa....you are missed sanaaa and LOVED!

NB: Kwa umri huu usije ukajaribu kunipotezea,naanza mid life crisis na nahitaji upendo....lol

Post of the day......
 
Umejipa likizo mkuu??

Halafu hizi hadithi zimetokea wapi? Mbona babu hajaletewa mashtaka yoyote kama kweli kuna wajukuu wananyanyapaliwa??

Karibu sana kwa bibi...

Babu DC!!

Mkuu watoto wa siku hizi hawamjui babu...mi nina kalikizo kasiko na malipo...
 

heshimu mawazo ya watu changia hoja sio kutaja taja majina hapa. Nimo kati ya uliowata nipo JF ktambo sana, id mpya ya mambo mapya isikubabaishe. Otherwise, anzisha uzi wako mkaitaine hukooo. Mnakera sana, ptuuu!
 
Last edited by a moderator:
Kuwa mwelewa,nikisema am above 30 haimaanishi sijawahi kuwa kny mahusiano,nimekuwa na wanaume sema tu sijampata 'potential candidate',,,,,wa kuwa mume wangu ambaye tutakuwa compartible in bed,na baba bora wa familia yangu...

try to compromise....you wont get someone 'compartible' as you wish
 
Kuwa mwelewa,nikisema am above 30 haimaanishi sijawahi kuwa kny mahusiano,nimekuwa na wanaume sema tu sijampata 'potential candidate',,,,,wa kuwa mume wangu ambaye tutakuwa compartible in bed,na baba bora wa familia yangu...

Punguza vigezo. Unless uwe hutaki ndoa, otherwise utaishia kupiga miayo..
 
heshimu mawazo ya watu changia hoja sio kutaja taja majina hapa. Nimo kati ya uliowata nipo JF ktambo sana, id mpya ya mambo mapya isikubabaishe. Otherwise, anzisha uzi wako mkaitaine hukooo. Mnakera sana, ptuuu!

heee? Yamekuwa hayo?

CC Asprin
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom