Wadada above 30

Wadada above 30

heshimu mawazo ya watu changia hoja sio kutaja taja majina hapa. Nimo kati ya uliowata nipo JF ktambo sana, id mpya ya mambo mapya isikubabaishe. Otherwise, anzisha uzi wako mkaitaine hukooo. Mnakera sana, ptuuu!
Samahani kama nimekuwaza. Ni upepo tu:confused2:
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
epitapy fwwiunashndapkazn youmtaaniada waache

Kuna wengine hawaolewi kwa bahat mbaya bt wengine wanajitakia
1. Background: wanaume wengi wanapenda mwanamke asiye na skendo, ss km mtaani alitembea hadi na vkongwe na wanaume km dem kmeo tunaambiana. Kzin kwako maboc wote wamepita na ww unashnda kazn na mtaani, nan atzkuposa? Labda trafki unaepshana na kgali chako cha mkopo.
2. Kuchagua wanaume ukijiona wewe ni matawi ya juu.
Mwanamke km hana hayo hapo juu lazma aolewe
 
hahahha limeshakuwa janga la kitaifa... hawa wanapaswa kuwekwa kwenye kundi lao maalumu, wapewe na basic needs itawasaidia sana hasa kuondoa msongo wa mawazo maishani mwao *nukta*

yupo m1 ana km 35 yrs, hapa ofisini, jn kanibwatiza bila ht sababu! nimemuangalia tu!
 
Yaani imekua tabu watu hawali vikalika, hawasomi vkasomeka hawatulii makazini kisa kuwasema wadada wa watu.

Hivi jiulizeni kuna mtu anapenda kufika 30 bila kua na mahusiano ya kueleweka.

Hakika hayupo, na hii inatokana mara nyingi na kutojaaliwa maybe kutokutana na yule mwenye vigezo uvitakavyo. Ukizingatia husband material wachache sana siku hizi.

Na ndoa nyingi za vijana full kulazimishana lazima unioe dot com. Mara nying na mimba juu! Na kwa mwanamke mwerevu anayejitambua sidhani kama yuko tayari kuolewa na mtu baki tu eti kisa 30 inakarbia.

Jamani tukubali msingi wa ndoa ni upendo kama hawajaridhika na watu wa kuwapenda for life (katika magonjwa na afya).

Muwaache hakuwapanga iwe hivi inaniuma kuona mnawasakama hadi mnawa affect kisaikolojia. Imagne mume anayefaa humuoni bado jamii imekuandama.

Nilipanga mimi? Mnapelekea watu kuwa na visirani vya ajabu maofisini, nyumbani n.k let them live their lives, kama we umebahatika kuwa na happy family am happy 4 you.

Wadada wa watu muwaache
kuna raha yake kuolewa ukiwa below 30,kwakua kuna hofu iliyokusukuma kufungua uzi huu wakujipa matumaini ya kumpata umtakaye,endelea kumsubiri huyo mume mwema pasipo kuchukua jukumu la kumuandaa mumeo umtakaye kwa mikono yako.
 
Hawajui tu. Wadada 28+ ndio mpango mzima, huwa nashangaa mwanaume uko 32+ unadate vitoto vya 25-. Wawaache na hao wadada watulizane coz nao huanza kupaniki sana wakifika umri huo.

25- bado utamu upo, nyi zenu zisha ota sugu
 
Sio sababu nasema haya kwakua nimeolewa laa, lakini sioni sababu ya mtu kujitia kwenye ndoa eti hata kama mume mwenyewe si mume ni gumegume sababu kuu mda unakwenda,naongea na wadogo zangu sikuzote msikimbilie ndoa.

Someni mpaka basi na utaona matunda yake,hao wanao katisha watu tamaa oooh ukifika 30-35yrs kuolewa shida nani kasema? ukijipanga vizuri na time ikiwa iko tayari unaolewa na unakua umetulia unaakili yakuhimili michakato ya ndoa.

Kuliko unaolewa 19-25 bado akili changa.. waliokua bado kuolewa msijitie BP olewa kwakua unampenda mume sio kwa
ajili ya kutora mkosi wala kwa ajili ya watu watasema....

Umri reasonable kwa mwanamke ni 25 na isizidi 30, kwako naona ni maneno ya mkosaji, unawashauri wadogo zako vbaya ili wawe km wewe. 30+ amechelewa na anaweza kuolewa na walofiwa na wake zao.
 
Ish....kwani haiwezekani?? Na suala sio husband material maana the term is subjective....suala ni kwamba unampenda??? Anaweza kuwa ni kijana mzuri tu lakini hujampenda na msingi wa ndoa ni upendo

Ni kweli dada nakubaliana na wewe had umpende na km ndo hana chengi basi hata km ulikua unampenda utaanza kumuona lonya. Sasa subiri utakaye mpenda had K itoke mvi
 
Hivi wewe ni mwalimu?

Halafu tunasemaga kila siku apa sie wakongwe kwamba ndoa sio ya kila mtu ndio maana kuna matowashi na waseja.

Sasa kwamba mdadq anafikisha 30 anapanick sidhan kama ni kweli kwa wengi. Nawafahamu wengi walioko 30s and sweet......hawajakariri kuolewa....
 
nimekuwa na wanaume sema tu sijampata 'potential candidate',,,,,wa kuwa mume wangu ambaye tutakuwa compartible in bed,na baba bora wa familia yangu...

Ngoja nikusaidie dada, watu tumelelewa mazingira tofauti hatuwezi kuwa compartible, cha muhimu ni kuelekezana, kufundishana na kueleza hisia zako zikoje km kina tatizo mnaenda kwa wataalam mwisho mnakkua vzr mnaoana. Co unakaa hapo unasubiri compatibility utachina. Mwisho na mm nicje nkakupitia bure
 
Hao ni watu wasiotaka kupiga vituz, subutu, wewe uwe mseja? Hakika Songay Empire itahamia Rome.

Hata mlima kilimanjaro uhamie Kigoma, babu ataendelea kuniita mseja.
Wewe sio mseja?
 
Poleni sana. Kumbe mnapata taabu hata nafsini mwenu? Teh teh teh!!

Ulikutana na waoaji toka upo 18 ukawaona washamba, sio ma-HB, hawana pesa nyingi wala gari, kwao Sigimbi, wanakaa uswazi, hawana kaz nk.. Ukawapenda machekbob wakakutumia weeeee!! Sasa ulowazarau leo mambo safi unajileta unachapwa wanasepa unalalama!!

Zeeka ka bi Kidude hivohivo msanii had uzeen.. Eti sista Duu, na hufi hadi uzeeke single!!

Hahahaha nmecheka sana. Wanawake wa namna hii wanaishia kuwaibia wenzao wanaume. Pigeni punyeto pumbafu
 
Back
Top Bottom