Mie am above 30,sijaolewa na siwazii.....nikimpata mume haya,nisipompata pia haya....
usikate tamaa.......... .......
yaani imekua tabu watu hawali vikalika, hawasomi vkasomeka hawatulii makazini kisa kuwasema wadada wa watu.
Hivi jiulizeni kuna mtu anapenda kufika 30 bila kua na mahusiano ya kueleweka.
Hakika hayupo, na hii inatokana mara nyingi na kutojaaliwa maybe kutokutana na yule mwenye vigezo uvitakavyo. Ukizingatia husband material wachache sana siku hizi.
Na ndoa nyingi za vijana full kulazimishana lazima unioe dot com. Mara nying na mimba juu! Na kwa mwanamke mwerevu anayejitambua sidhani kama yuko tayari kuolewa na mtu baki tu eti kisa 30 inakarbia.
Jamani tukubali msingi wa ndoa ni upendo kama hawajaridhika na watu wa kuwapenda for life (katika magonjwa na afya).
Muwaache hakuwapanga iwe hivi inaniuma kuona mnawasakama hadi mnawa affect kisaikolojia. Imagne mume anayefaa humuoni bado jamii imekuandama.
Nilipanga mimi? Mnapelekea watu kuwa na visirani vya ajabu maofisini, nyumbani n.k let them live their lives, kama we umebahatika kuwa na happy family am happy 4 you.
Wadada wa watu muwaache
Mie am above 30,sijaolewa na siwazii.....nikimpata mume haya,nisipompata pia haya....
Si kweli wakati wote. Unachofikiri ni rahisi kwako, si rahisi kwa wote na mara zote. Hao above 30 kila mmoja ana historia yake na mipaka yake. Uliyepata Usimkashifu ambaye hajapata, maana hata ulichonacho hakina tofauti na kukumbatia maji.
mmmh unaishi wapi huko ulikokosa mume mpaka umri huo
Sensa ya Tz inaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Kwani siku hizi kuna ndoa jamani!kuna harusi tu tunashow pale kwamba tumeoana bac, ndoa zilikua za mababa zetu .
mmmh unaishi wapi huko ulikokosa mume mpaka umri huo
Yaani imekua tabu watu hawali vikalika, hawasomi vkasomeka hawatulii makazini kisa kuwasema wadada wa watu.
Hivi jiulizeni kuna mtu anapenda kufika 30 bila kua na mahusiano ya kueleweka.
Hakika hayupo, na hii inatokana mara nyingi na kutojaaliwa maybe kutokutana na yule mwenye vigezo uvitakavyo. Ukizingatia husband material wachache sana siku hizi.
Na ndoa nyingi za vijana full kulazimishana lazima unioe dot com. Mara nying na mimba juu! Na kwa mwanamke mwerevu anayejitambua sidhani kama yuko tayari kuolewa na mtu baki tu eti kisa 30 inakarbia.
Jamani tukubali msingi wa ndoa ni upendo kama hawajaridhika na watu wa kuwapenda for life (katika magonjwa na afya).
Muwaache hakuwapanga iwe hivi inaniuma kuona mnawasakama hadi mnawa affect kisaikolojia. Imagne mume anayefaa humuoni bado jamii imekuandama.
Nilipanga mimi? Mnapelekea watu kuwa na visirani vya ajabu maofisini, nyumbani n.k let them live their lives, kama we umebahatika kuwa na happy family am happy 4 you.
Wadada wa watu muwaache
Umenikumbusha mbali saaaaana.... Those were days.......!!Well,it's good to see you here too ....
Welcome again,JF imebadilika sana now days,sio kama ile ya wakati ule ya akina Dark City , Gagurito, Cantalisia , AshaDii , Lizzy , steveDii , Teamo , Konakali , snowhite , Kaizer , Asprin , klorokwini , Kaunga na wengine ambao walikuwa wanaifanya JF kuwa kama chuo cha mambo mengi
Nadhani sasa unaweza kuonekana mgeni sana hapa ......!!
Mie am above 30,sijaolewa na siwazii.....nikimpata mume haya,nisipompata pia haya....
Sikupendi kama zamani. Sijui kwanini...😛hoto:Long time Eiyer...have been working,studying and doing research in different places.
Hope you are doing well,good to see you here!
Na ni haya maneno ndio yanakufanya usipate... mwanaume kuwa na kiburi mbele ya mwanaume, kujisikia, kujiona yeye ndio huwezi kupata wa kukuoa, heb jarib kumuonesha mwanaume tabia nzuri, jarib kujishusha ( sio mpaka ujiumize kwamba unanyanyasika lakin bado unaendelea kujishusha).. its just simple kuolewa Ila sometimes I think nyie wenyewe tu ndio ndio mnajikuta hamtaki kuolewa coz ukitaka unaolewa
Bwashe zamani ulikuwa mtoto...saivi ushakuwa mkubwa..!Umenikumbusha mbali saaaaana.... Those were days.......!!